Mbwa ajilaza juu ya kaburi.

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Tukio hili kwa mila za kiafrika lina tafsiri gani?
 
Attachments

  • DOG.jpeg
    68.1 KB · Views: 236
Labda maisha kwake yamekuwa sio kabisa kaona akamkumbuke tajiri yake aliyekuwa anamtoa.Hiyo nimetafsiri ya movie za kihindi hapo tehe tehe
 
kwa tafiri za kiafrika huyo mbwa anaona kuliko kuishi iringa bora na yeye angezikwa.
 
Mbona hilo tukio la kawaida tu jamani? kaburi lenyewe lilivyotengenezwa na kunakshiwa ni bora kulala juu yake kuliko kuichafuka na tope. Mbwa mstaarabu sana huyo.

huyo kuna watu wamemkosakosa kumchinja tz ndo kakimbia hadi hapo sasa njaa anatamani naye azikwe.
 
kwa tafiri za kiafrika huyo mbwa anaona kuliko kuishi iringa bora na yeye angezikwa.

Tena anaonekana kanona na ni mtamu balaaa; akikatisha tu kwa Segito leo ndo mwisho wa maisha yake
 
Tena anaonekana kanona na ni mtamu balaaa; akikatisha tu kwa Segito leo ndo mwisho wa maisha yake
na pengine huyo uliemtaja ndo kamsababisha akimbilie juu ya hilo kaburi baada ya kumkosa kosa.
 
MMH hilo litakuwa kaburi la alikuwa anamfuga mana mbwa ukimfuga vizuri anakuwa anakuzoea sana, na ukizingatia wazungu huwa wanajali wanyama wanaowafuga
 
kwa tafiri za kiafrika huyo mbwa anaona kuliko kuishi iringa bora na yeye angezikwa.

Natabiri vitu vizito kurushwa kutoka pande zisizojulikana,au kupata taarifa za watu kujinyonga ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…