Mbwa aina ya Caucasian Ovcharka....!!!!

Dyu!!! Hapo na bili ya nyama inahusika. Si hawa wa uswazi kwetu wanakula pumba na makombo ya jalalani.
 
Mbona anafanana na Taibetan Mastiff?
Au wame crossbreed
 
ivi kati ya hao na bull dog ukipiganisha nani anaweza akapigwa mana apa ninaye bullu dog na german shephered nilipiganisha aisee german shephered alipigwa nusu ya kufa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…