hawa ndio weekend farmers bana, utamkuta uko shambani yuko na sendozi na heineken mkono wa kulia na simu mkono wa kushoto. halafu wakitoka uko shamba wanapita bar wanapata ile kitu yenye mafua mpaka saa tatu usiku
Umesahau kitu, pembeni anakuwa amepaki mkoko wa kifisadi na mara nyingi shambani anakuwa amekwenda na nyumba ndogo! Mkewe anaambiwa leo mwende shopping mimi nitakuwa shamba! Bongo hiyoooo
mutensa mbuzi wa maziwa ulifanikiwa, unaendeleaje na hao mbuzi!!!Niko seriously looking mkuu. Nimeku-pm contact details zangu.
Wadau. Bila shaka wenye maoifisi mnamalizia viporo vya weekend. Mimi niko shambani nakagua mimea na mazao huku nikiwa na kofia kubwa kichwani maana jua kali. Katika zunguka yangu nimeona kuwa nahitaji mbuzi wa maziwa.
Jamani kama kuna mtu ana hao mbuzi ani-pm au anitumie email kwenye mutensa@live.co.uk.
Kiufupi natafuta mbuzi jike wa maziwa...
Nisidieni.
Mkuu niliwapata,
bado natafuta fungu kuwanunua. Mmoja 150,000 Tsh.
bahitaji kama sita hivi...
Ni kweli kabisa,nilionana na yule mzee akaniambia kuwa ulimpigia mkaongea,sasa naomba nikupe tahadhali,ukichelewa mpaka mwisho wa mwaka huu mimi nitawalamba wote pale kwa yule mzee na jirani yake. Vipi kanyagio upo hapo?
Malila na Mutensa vipi hao mbuzi wa maziwa mlishawalamba? sometimes huwa narudia kusoma threads za nyuma kuona wapi tumefikia kwa vitendo baada ya kuandika kwenye JF.. najua kuna watu wapo serious sana... mbarikiwe wote mlio serious!!
Malila, naomba unipatie contacts za huyo mzee.Mungu yupo,kama huamini juu yako. Mwezi jana nimepata mbuzi mmoja jike na mwanae kwa bei ya kutupa kabisa kule kiluvya karibu na PM mstaafu. Nimelamba kwa buku arobaini. Nimekwenda kwa yule mzee,bado wapo wale mbuzi na wamenenepa vizuri. August hii nakwenda kumshawishi yule mzee nilambe mbuzi wote na nitamlipa cash.:A S-heart-2::rapture:
Mungu yupo,kama huamini juu yako. Mwezi jana nimepata mbuzi mmoja jike na mwanae kwa bei ya kutupa kabisa kule kiluvya karibu na PM mstaafu. Nimelamba kwa buku arobaini. Nimekwenda kwa yule mzee,bado wapo wale mbuzi na wamenenepa vizuri. August hii nakwenda kumshawishi yule mzee nilambe mbuzi wote na nitamlipa cash.:A S-heart-2::rapture:
Mungu yupo,kama huamini juu yako. Mwezi jana nimepata mbuzi mmoja jike na mwanae kwa bei ya kutupa kabisa kule kiluvya karibu na PM mstaafu. Nimelamba kwa buku arobaini. Nimekwenda kwa yule mzee,bado wapo wale mbuzi na wamenenepa vizuri. August hii nakwenda kumshawishi yule mzee nilambe mbuzi wote na nitamlipa cash.:A S-heart-2::rapture: