Mbuzi wa Arusha

hahahaaa!!mbuzi anakula kishada,huyo kama ni beberu anaweza sarandia manzi arif!
 
Huyo inabidi awasaidie wapambanaji wa mihadarati katika kujua mienendo ya mmiliki wake. Itabidi tumuongeze kwenye ile list yetu
 
Katika jani ambalo mbuzi~beberu analipenda ni hilo sasa,anaweza waongoza wenzake kwa kuwakimbiza mbaya kufuata harufu inapotokea.
 
Hilo jicho ni chongo au ni mimi langu chongo
Kawaida yake akila hilo jani huwa anarembua na ukimkuta amepumzika kivulini baada ya kula hilo jani pendwa,hilo jicho utadhani hakuoni kumbe anabembea.
 
Kuna babu yangu alinambiaga wachunga mbuzi ndio waligunduaga bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…