Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 254
- 350
Tena kwa mbuzi wa aina yetu wa kienyeji ndio big no..Mbuzi anabeba mimba miezi 5 halafu anazaa 1 au 2
Nguruwe anabeba mimba miezi 3 halafu anazaa hadi 16
Biashara ya ufugaji mbuzi kwangu hapana
Kawaulize SUA kuna maprofessa lkn waliacha mradi wa nguruwe na wakaendelea na Ng’ombeMbuzi anabeba mimba miezi 5 halafu anazaa 1 au 2
Nguruwe anabeba mimba miezi 3 halafu anazaa hadi 16
Biashara ya ufugaji mbuzi kwangu hapana
Njoo private Nina wateja wa nje ya nchi wanahitaji Mbuzi hai...Tanzania ina zaidi ya mbuzi milioni 24, na idadi hiyo imeendelea kuongezeka kutokana na mahitaji makubwa ya nyama ya mbuzi ndani na nje ya nchi. Tafiti zinaonyesha kuwa ufugaji wa mbuzi ni moja ya shughuli muhimu zinazowapatia wananchi kipato katika maeneo mengi ya vijijini na mijini.
Mbuzi hawauzwi kama wanyama pekee, Wanaingiza fedha kupitia:
1.Uuzaji wa mbuzi hai
2.Uuzaji wa nyama
3.Uuzaji wa mbegu za kuzalisha
4.Uuzaji wa samadi
5.Uuzaji wa maziwa kwa baadhi ya mifugo ya maziwa
6.Biashara za sherehe, harusi na shughuli za kijamii
7. Masoko ya kidini yanayohitaji mbuzi kwa idadi kubwa
Hata katika biashara ya nyama, uzalishaji wa nyama ya mbuzi na kondoo nchini umeendelea kuongezeka, jambo linaloonyesha mahitaji ya soko yanavyozidi kupanuka.
Mbuzi mmoja jike mwenye usimamizi mzuri anaweza kuwa mwanzo wa kundi kubwa ndani ya miaka michache kutokana na uwezo wa kuzaa mara kwa mara na mara nyingi kupata watoto zaidi ya mmoja kwa uzao. Hiyo ndiyo sababu wafugaji wengi wenye mafanikio huangalia mbuzi kama "kiwanda cha kuzalisha mali" badala ya mnyama wa kuuza mara moja.
Je, ungependa kujifunza kwa undani?
Ndani ya Group la Tanzania na Kilimo tunafundisha kwa vitendo:
1. Ufugaji wa mbuzi wa nyama
2. Ufugaji wa mbuzi wa maziwa
3. Ujenzi wa mabanda ya kisasa
4. Lishe na afya ya mbuzi
5. Mbinu za kuongeza uzazi
6. Masoko na biashara ya mbuzi
7 Hesabu za faida na uwekezaji
Wafugaji wengi wamekuwa wakishangazwa na kiasi cha fursa walichokuwa wanakikosa kwa kukosa taarifa sahihi.
Jiunge nasi leo na ujifunze siri za kugeuza mbuzi kuwa biashara yenye faida
📲 Tuma NIUNGE Kwenda WhatsApp 0764 148 221
#UfugajiWaMbuzi #UfugajiKibiashara #Mifugo
View attachment 3602200
Itakuwa tu shinikizo kutoka kwa makobaz wenzao.Kawaulize SUA kuna maprofessa lkn waliacha mradi wa nguruwe na wakaendelea na Ng’ombe
Usiongee usichokijua unamjua professor kurwjila wewe? Ila ameshafariki yule mzeeItakuwa tu shinikizo kutoka kwa makobaz wenzao.
UOngo uko hapa, Mbuzi anayezaa mara moja Kwa Mwaka, itamchukua miaka mingapi kufikisha mbuzi 10? Mimba ya mbuzi ni 6month, na anapozaaa hulea kwanza Mtoto wake kabla hajapata Mimba nyingineMbuzi mmoja jike mwenye usimamizi mzuri anaweza kuwa mwanzo wa kundi kubwa ndani ya miaka michache kutokana na uwezo wa kuzaa mara kwa mara na mara nyingi kupata watoto zaidi ya mmoja kwa uzao. Hiyo ndiyo sababu wafugaji wengi wenye mafanikio huangalia mbuzi kama "kiwanda cha kuzalisha mali" badala ya mnyama wa kuuza mara moja.
Ufugaji wa mbuzi uwe kijamii au kisoaholojia Tu lakini si kwa biashara, yaani uwe shambani ukilima na mbuzi awe anasindikiza game tuMbuzi anabeba mimba miezi 5 halafu anazaa 1 au 2
Nguruwe anabeba mimba miezi 3 halafu anazaa hadi 16
Biashara ya ufugaji mbuzi kwangu hapana
Dogo acha ujuaji ujuajiUsiongee usichokijua unamjua professor kurwjila wewe? Ila ameshafariki yule mzee
Ni ngumu kufunga safari hadi Sua kwenda kuuliza tu eti kwanini waliacha kufuga Nguruwe ilhali kuna taasisi na watu binafsi wanafuga Nguruwe na wanaongezeka kila kukichaKawaulize SUA kuna maprofessa lkn waliacha mradi wa nguruwe na wakaendelea na Ng’ombe