Mbuzi kafia kwa mpika supu

hahahaaaaa.....
Hapo trafic anapiga hesabu kuwa ya mboga na bia tayar imepatkana
 
Hahahahaaaaa ila inawezekana pia mpika supu ndo mkosaji hapo!
 
Huyo dereva wa gari awe makini kwenye mchoro. Unaweza kukuta wanachora picha ya ze kiki pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…