Mbuzi 50

Kwanza ungesema uko wapi ili nikusaidie chimbo upate kwa bei ya chini.
 
Mkuu tafuta namba za viongozi wa simba unawapata chapu tu, tena hao 50 ni wachache sana.

Mwisho nikupe pongezi kwa uamuzi huo wa kufuga.
 
Nipo geita kijijini unataka mbuzi size gani? majika mangapi na mabeberu mangapi?
Mbuzi aliye tayari kupandwa ni 80-100k karibu sana

NB:Mimi sina na sio dalali ila nina connection na wauzaji na wafugaji ni mbuzi kwa % kubwa huzaa mapacha
 
Halafu hii namba yako haipo Whattsapp.
 
Nina mbuzi 700 hapa simiyu.kwa Kila mmoja nauza Kwa laki sita tu.karibu mwana Dar es salaam nikuuzie mbuzi walionona.
 
MUBENDE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…