Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,572
- 4,826
Pongezi kwako mbunge mtarajiwa tunaomba barabara ziwekwe lami ila kwa kuanzia zichongwe na greda tunakufa na barabara mbovu sana . Wenzetu wote mitaa yao imechongwa hata salasala magengeni amahoro kumechongwa. Maeneo haya ya mbezibeach B hayachongwa kabisa tunashanga tatizo ni nini.
Mtafanya tuinyime kura ccm maana ni kama viongozi wetu akina gwajima walitutelekeza na Mutta rwakarate. Walikuwa wanafanya yao tuu sisi wananchi tunahitaji barabara zenye lami.
Mtafanya tuinyime kura ccm maana ni kama viongozi wetu akina gwajima walitutelekeza na Mutta rwakarate. Walikuwa wanafanya yao tuu sisi wananchi tunahitaji barabara zenye lami.