utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana ezekia wenje ( chadema ) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini mwanza hiyo jana.
MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"

Bravo polisi, Bravo jeshi la polisi kwa hatua waliyochukua. ifike wakati sasa chadema watambue nguvu ya dola na watii mamlaka zilizopo

Siku hizi kukamatwa na police si issue sana,kama watu walikamtwa wakapandishwa ndege,malazi chakula na kisha kuachiwa sasa hapo unaweza shangaa nini kwa wenje!
sema tu siku hizi NAPE au Mwingulu wanaweza kupiga simu kwa polisi na kuagiza wenje akamatwe japo wapumue kwa siku kadhaa
kwa hiyo issue ni wangapi wamemwagiwa tindikali, wamelishwa sumu au wamekufa kwenye maandamano??Siku hizi kukamatwa na police si issue sana,kama watu walikamtwa wakapandishwa ndege,malazi chakula na kisha kuachiwa sasa hapo unaweza shangaa nini kwa wenje!
sema tu siku hizi NAPE au Mwingulu wanaweza kupiga simu kwa polisi na kuagiza wenje akamatwe japo wapumue kwa siku kadhaa
Naona kuna watu wamejiunga hapa kuchangia uzi huu!Una miaka mingapi?
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana ezekia wenje ( chadema ) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini mwanza hiyo jana.
MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"
Join Date : 19th August 2013
Posts : 24
Rep Power : 305
Likes Received 1
Likes Given 0
Sina muda wa kujadili post yako kwani wewe hapo ulipo hata uenyeji huna, ndo unatia mguu tu ndani ya nyumba tayari ushaanza kuharishia sebule?, watu wa CHAMA CHA MASHETANI sijui haziwatoshi?
Mleta mada shukrani kwa taarifa nzuri
Kosa lako ni kuzungumzia kana kwamba
Chadema na Wenje ni tatizo kitu ambacho
huenda umeweka mahaba kwa CCM.
Siku nyingine uwe makini na hilo mdau.
akili ndogo!
Hivi mtu ikidhibitika kasema/kuandika uongo, sianafungiwa au?
Kwani huyu mama, usema uongo sanaa na afungiwi, ref issue ya tabata mkutano n.k
Mod fanyeni kazi vizuri tafadhari, piga BAN huyu anaalibu hadhi ya Jf.