Mbunge/Waziri ambaye yupo ila hata Mh hamkubali. Wananchi Badilikeni

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Kyela tafuteni mtu mzuri wa CCM agombee Ubunge. Mwakyembe yupo yupo tu lakini Mh wala hamkubali.

Yupo sababu angalau awepo Waziri toka Jiji la Mbeya ila inafahamika kuwa jamaa hana lolote toka wizara zote alizokabidhiwa.

Kwa hivi sasa hii wizara ya yeye kupiga picha na akina wema sepetu na snura amewekwa tu ili kumlipa fadhila.wana Mbeya kwa ujumla chagueni Wabunge wenye akili wakafanye maendeleo kwa ajili ya jiji lenu.

Inafahamika kabisa katika korido zetu kuwa jamaa yupo yupo tu na bahati mbaya akili alishaziweka mfukoni amekuwa kama bwege.
 
Kwani sisi wananchi tunapiga kura au kura wanapiga wajumbe wa ccm.
 
Kyela tafuteni mtu mzuri wa CCM agombee Ubunge. Mwakyembe yupo yupo tu lakini Mh wala hamkubali.

Yupo sababu angalau awepo Waziri toka Jiji la Mbeya ila inafahamika kuwa jamaa hana lolote toka wizara zote alizokabidhiwa.

Kwa hivi sasa hii wizara ya yeye kupiga picha na akina wema sepetu na snura amewekwa tu ili kumlipa fadhila.wana Mbeya kwa ujumla chagueni Wabunge wenye akili wakafanye maendeleo kwa ajili ya jiji lenu.

Inafahamika kabisa katika korido zetu kuwa jamaa yupo yupo tu na bahati mbaya akili alishaziweka mfukoni amekuwa kama bwege.
Mwakyembe ni UTOPOLO.
 
Mwakyembe ni UTOPOLO.
Hivi Mwakyembe huyu ndio Yule ninja aliyekuwa akimwepa vifo mbalimbali alovyokuwa anasakamwa navyo, kuanzia ajali ya roli, Tyre burst, sumu, etc?

Si yuko KWENYE wizara rasmi ya bongo Movie, kwanini hatengenezi sinema ya misukosuko ya maisha yake?

Au anaogopa ndio watamuua akiigiza Kama alivyouliwa Bruce Lee Kisha baadae mtoto wake Brandon Lee?
 
Sumu tu ndio ilikuwa inamuondoa ila hayo mengine ni BONGO MOVIE tu.
 
Kyela tafuteni mtu mzuri wa CCM agombee Ubunge. Mwakyembe yupo yupo tu lakini Mh wala hamkubali.

Yupo sababu angalau awepo Waziri toka Jiji la Mbeya ila inafahamika kuwa jamaa hana lolote toka wizara zote alizokabidhiwa.

Kwa hivi sasa hii wizara ya yeye kupiga picha na akina wema sepetu na snura amewekwa tu ili kumlipa fadhila.wana Mbeya kwa ujumla chagueni Wabunge wenye akili wakafanye maendeleo kwa ajili ya jiji lenu.

Inafahamika kabisa katika korido zetu kuwa jamaa yupo yupo tu na bahati mbaya akili alishaziweka mfukoni amekuwa kama bwege.

Ni kazi ya wajumbe kumpitisha au kumwacha huko ccm
Wananchi hawahusiki
 
Kyela tafuteni mtu mzuri wa CCM agombee Ubunge. Mwakyembe yupo yupo tu lakini Mh wala hamkubali.

Yupo sababu angalau awepo Waziri toka Jiji la Mbeya ila inafahamika kuwa jamaa hana lolote toka wizara zote alizokabidhiwa.

Kwa hivi sasa hii wizara ya yeye kupiga picha na akina wema sepetu na snura amewekwa tu ili kumlipa fadhila.wana Mbeya kwa ujumla chagueni Wabunge wenye akili wakafanye maendeleo kwa ajili ya jiji lenu.

Inafahamika kabisa katika korido zetu kuwa jamaa yupo yupo tu na bahati mbaya akili alishaziweka mfukoni amekuwa kama bwege.
Inategemea ameamkaje? Siku mchepuko ukimnyima mgegedo,,,ohooooo
 
Kyela tafuteni mtu mzuri wa CCM agombee Ubunge. Mwakyembe yupo yupo tu lakini Mh wala hamkubali.

Yupo sababu angalau awepo Waziri toka Jiji la Mbeya ila inafahamika kuwa jamaa hana lolote toka wizara zote alizokabidhiwa.

Kwa hivi sasa hii wizara ya yeye kupiga picha na akina wema sepetu na snura amewekwa tu ili kumlipa fadhila.wana Mbeya kwa ujumla chagueni Wabunge wenye akili wakafanye maendeleo kwa ajili ya jiji lenu.

Inafahamika kabisa katika korido zetu kuwa jamaa yupo yupo tu na bahati mbaya akili alishaziweka mfukoni amekuwa kama bwege.
Kazi yake kubwa kuzivuruga Simba na Yanga ili apate kuandikwa magazetini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom