Huyo Mbunge 'niliyemlenga' hapa amemshakubebesha nini 'Mimba' yake labda ndiyo maana 'umeumia' sana tu kwa Mimi 'Kumsiliba' hivi hapa JF?Hiyo dhihaka haikusaidii, kwa Sheria ya kazi hiyo ni jinai na hairuhusiwi. Utofauti wa kisiasa usiwafanye kuwa watu wa namna hiyo