Mbunge Waitara atoa ushauri

Satuuuu

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
1,849
1,993
Mbunge wa Ukonga Mh.Waitara apewa nafasi yakuzungumza ktk hafla fupi iliyofanyika parokiani Kitunda, amewashauri wazazi washiriki ktk maendeleo ya jamii na hasa elimu kwani hakuna elimu ya bure pia wanapaswa kutoa taarifa na kero mbalimbali zilizopo ktk jamii kwa njia ya simu au kufika ofisini kwake.Pamoja na ayo ametumia mda huo mfupi kuelezea machache juu ya ushiriki wake Bungeni na amewashukuru wana Ukonga kwa kumuwezesha kufikia hatua hiyo.
 
Back
Top Bottom