mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,413
- 5,150
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Halima Idd Nassor, kilichotokea leo Jumapili tarehe 18 Januari, 2026 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.
"Kwa masikitiko makubwa, natangaza kifo cha Mbunge wa Viti Mheshimiwa Halima Idd Nassoro kilichotokea leo 18 Januari, 2026 Jijini Dar es Salaam. Natoa pole kwa Waheshimiwa Wabunge wote, familia ya Marehemu, ndugu, jamaa na marafiki, Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu," amesema Mheshimiwa Spika.
Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa. "Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un", Amina.
Imetolewa na:
Waooo, tumpe nini Mungu kwa maana sifa na utukufu ni vyake..Humu tuuuuu!!!!

Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma Ofisi ya Bunge
Dodoma
18 Januari, 2026