14 September 2023
Ankara, Turkey
Mbunge wa Uturuki aanguka bungeni alipotoa kauli kuwa "Israel haitaepuka ghadhabu ya Allah", na baadaye kufariki
Picha: mbunge Mh. Hasan Bitmez akipatiwa huduma ya kwanza bungeni
View: https://m.youtube.com/watch?v=_cS3fcpb-Hk
Mbunge wa Uturuki wa chama cha the Islamist Saadet Partisi cha Uturuki Bw. Hasan Bitmez , ambaye anaihusudu na kuiunga mkono Hamas, amefariki siku chache tu baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo Bungeni wakati wa hotuba yake iliyotangaza kuwa Israel itakabiliwa na "ghadhabu ya Mwenyezi Mungu".
Hasan Bitmez, mbunge wa chama cha Felicity nchini Uturuki, mwenye umri wa miaka 53, alifariki siku ya Alhamisi. kwa mujibu wa Waziri wa Afya Fahrettin Koca.
Siku ya Jumatatu, picha zilinaswa Bitmez akianguka muda mfupi baada ya kutoa ukosoaji mkali wa jibu la Uturuki kwa mzozo wa Israel na Hamas.
Alionya kuwa Israel "haitaepuka ghadhabu ya Mwenyezi Mungu" kabla ya kuanguka chini, na kusababisha wabunge waliokuwa karibu naye kuja kukimbilia msaada wake.
Bitmez alionekana akiwa ameshika bango wakati wa hotuba yake iliyosomeka: "Muuaji Israel, Mshiriki AKP," akimaanisha moja kwa moja chama tawala cha Rais Erdogan cha Haki na Maendeleo (AKP). Moyo wake uliripotiwa kusimama Bungeni.
Huduma ya kwanza alipatiwa akiwa bungeni moyo wake kufufuliwa baadaye na alikimbizwa hospitalini akiwa katika hali mbaya.
Bitmez alikuwa naibu mkuu wa chama cha Felicity Party cha Uturuki na mgonjwa wa kisukari. Alifanyiwa utaratibu wa kuweka kifaa cha stenti mbili kwenye mishipa ya moyo baada ya kuzimia.

Source : Sky News Australia14 Dec2023
A Turkish lawmaker has died just days after suffering a heart attack in Parliament during a speech proclaiming Israel would face "the wrath of Allah".Hasan Bitmez, a 53-year-old lawmaker from the Felicity Party in Turkey, passed away on Thursday, according to Health Minister Fahrettin Koca.On Monday, footage captured Bitmez collapsing shortly after delivering a harsh critique of Turkey's response to the Israel-Hamas conflict.He warned that Israel "will not escape the wrath of Allah" before falling to the floor, causing parliamentarians around him to come rushing to his aid.Bitmez was observed holding a sign during his speech that read: “Murderer Israel, Collaborator AKP,” directly referencing President Erdogan's ruling Justice and Development Party (AKP).His heart had reportedly stopped in Parliament before being revived later and he was rushed to the hospital in critical condition.Bitmez was deputy head of Turkey’s Felicity Party and a diabetic. He underwent a procedure to place two stents in his heart arteries after the collapse