Lesso Lesso
Member
- Jan 30, 2017
- 48
- 32
Chuki ndani ya nchi hii imeletwa na serikali iliyolaaniwa ya ccm. Hta siku machafuko na vita vikitokea ni ccm Wata7bisha. Hawataki wapinzani kuunga mkono jamii yetu. Na ndio maana nasema kuwa haya yote ni 7babu ya kipigo walichopewa na lowasa uchaguzi wa 2015. Sasa hivi hawataki maendeleo yasaidiwe na upinzani, wakidhani kuwa kufanya hivyo ni wananchi wanawapenda