Mbunge wa upinzani amvutia pumzi Ngeleja Bungeni........

Sisi wengine tuna akili duni kwa sababu si wabunge, lakini ukweli tumeujua kuwa wewe Kafulila a.k.a michelle umeamua kujitafutia umaarufu kwa kufikiria kuleta jambo hili la umeme ili uvute hisia za watanzania!!! Umefanya hivi hata kutumia majina mbali mbali kuanzisha threads tofauti ili uvute attention na publicity lakini huna lolote wala huwezi ukafanikisha ujinga wako huu. Usifikiri wewe ndiye mjanja pekee hapa Tanzania, Ujanja fanyia kigoma na uwadanganye waha wa kigoma Kusini lakini si wengine. Shwain mkubwa
I would prefer his attention and publicity seeking procedure inaweza ikaleta manufaa kwa sie walalahoi tunaotegemea umeme na bila kuwa na mbadala zaidi ya taa za chemli. Nafikiri ujinga wake ukawa bora zaidi mheshimiwa, au?
 
Hoja ni nzuri yenye mantiki. Kuna ujanja unaotumika katika kupata ukweli. Leo tunaongelea mkataba kati ya serikali na Dowans. Hii si kweli hakuna mkataba kati ya serikali na Dowans, bali upo mkataba kati ya serikali na Richmond. Richmond iliuza mktaba[ kama ulikuwepo] kwa Dowans na kama hivyo, maana yake ni kuwa mkataba huo ni valid, basi tuambiwe lini serikali na Dowans walisaini maridhiano ya kuhamisha mkataba wa Richmond, na ni nani alisaini mkataba huo kwa niaba ya Serikali. Na kwa vile sula lhili lilikuwa chini ya ofisi ya Waziri mkuu [Lowasa], je ni nani aliridhia kuhamishwa mkataba toka Richmond kwenda Dowans? na kama kulikuwa na mkataba mpya na Dowans nani alisaini kwaniaba ya serikali na alisaini dhidi ya mwakililshi gani kutoka Dowans.

Pili, hela zinazotarajiwa kulipwa Dowans zinalipwa ni zile za kuvunja mkataba na Richmond ambayo haikuwepo[rejea kamati ya bunge ya Mwakyembe]. Sasa kampuni ambayo haikuwepo iliuza au kutoa mkataba kwa kampuni nyingine ambayo haijulikani kwa Serikali kwa njia gani?

Tatu, Wananchi wasikomalie Dowans, kwanza tujue mkataba na serikali ulitolewa kwa Downs lini na kwanani.
Kinachofanywa hapa ni kutaka kuitumia Dowans[ ambayo haipo] kuificha Richmond[Haipo]. Richmond inataka kufichwa kwasababu inagusa watu wa mzee. Tusirukie Dowans, tujiulize iliingiaje mkataba na Serikali?
Mwisho serikali ituambie, imeshindwa kesi na nani Richomnd au Dowans, kama ni Dowans basi tuambiwe mkataba na Dowans ullianzaje na lini, nani anamiliki Dowans.
Tufike mahali tukatae kugeuzwa mazezeta ili hali tuna akili zetu.

Maelezo yako inaelekea unafahamu mengi kuhusiana na sakata hili, inamaana hao waendesha kesi hawakuangalia "Legal mandate" ya DOWANS wakati wa kuangalia shauri hili?
 
By PIUS RUGONZIBWA, 5th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 22

KASULU South MP (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, intends to table a private motion in the National Assembly in February asking the august House to cast a vote of no confidence to the Minister for Energy and Minerals, Mr William Ngeleja, allegedly for failure to rescue the country from frequent power blues.

Addressing journalists in Dar es Salaam on Sunday, Mr Kafulila also accused Mr Ngeleja of failure to implement the National Energy Policy and the National Power System Master Plan causing the country to suffer three serious power rationing in the last two years which has caused a lot of economic damages.

Mr Kafulila who was elected into the House for the first time in the last October general election, said he would also hold the government responsible for negligence that would lead into paying about 185bn/- to Ms Dowans Co. being damages after winning the case against Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) in the International Commercial Court (ICC).

"Since 2006 the government has failed to solve power blues despite regular promises to deal with the problem and Minister Ngeleja's statements that power problems would remain history have not been practical…and it now looks like a problem that is beyond our leader's capacity to solve," he said.

On the Dowans and Tanesco controversy, he said it was surprising the government was about to pay billions of shillings in damages to the company it once described as non existent and fake.

Instead, he said, the government should have worked on stakeholders' recommendation of buying the turbines valued at 70bn/- by then.

"But now it has to pay the company the money which would have been otherwise used to finance generation of at least 200MW for the national grid," he said.

He further said that he would, in his private motion, ask the government to allocate enough funds for implementation of 2000MW Stigler's Gorge project, 300MW Mnazi Bay project and 200MW Kiwira project whose execution had been delayed.

Nikisema Ngeleja ajiuzuru kuna kosa kweli hapo au????

Maana hawa watu wanaijua KATIBA ya nchi na wamekiuka kabisa na kutoilinda KATIBA ya nchi eg Ibara ya 63(5) (e)" Ya KATIBA inaeleza kwamba Mikataba yote ambayo serikali inasaini ni lazima iidhinishwe au kuridhiwa na Bunge"

Lini hii mikataba ilisha letwa bungeni?? non zero hakuna mtu aliye poteza muda wake kuiwakilisha bungeni sasa hapo mtaniambia kuna waziri alikuwa analinda na kuitetea KATIBA ya TANZANIA??? siku zote unapo sign MIKATABA lazima ujue Faida na hasara zake sasa hawa watu hawakujua mpaka leo hukumu imetolewa watu walikuwa wamejikausha tuu huko bungeni, Mkurugenzi wa Tanesco Idrisa Rashid alitamka kuwa ipo siku nchi itaingia gizani kwahiyo walijua fika Mkataba unasema nini na hakuna mtu aliye taka kuongelea Ngeleja alilijua hilo na akawa kimya

Je sasa niwaulize Ngeleja tokea akabidhiwe hiyo Wizara ya Nishati na Madini kweli alishindwa pitia MIKATABA for the Country sake? au ndio nini? Mr. Ngeleja Must goooo noooooooooooowwwww

Kwa macho ya haraka haraka hapa haihitaji kuwa na PhD kujua kuna jambo la kusafishana, kwa sababu ni simple logic kuwa kama TANESCO itailipa DOWANS those BILLIONS, ina maana ilikuwa inaexist na ilikuwa inafanya biashara halali na ilikuwa na makubaliano na mkataba halali wa kufanya kazi na TANESCO, so kama mahakama ya kimataifa imetambua hilo, inamaana kuna watu waliwajibishwa kimakosa hivyo muda si mrefu tutasikia serikali ikiwaomba radhi kina fulani na kuwasafisha saaaaaaaaaaaafi kabisa! Ama kweli ukistaajabu ya Musa......
 
Hivi kwa akili tuuu ya kawaida huyo atakaye mtakasa alichafua hali ya hewa nae ni mchafu na hili watu wanalichukulia juu juu tuu wale wote walio fanya hiyo scandal madhara yake huko baadae sijui lakini mambo yatakuwa mambaya sana isitoshe kutakuwa kumwagika damu

Kwanza huyo kafulia anakaribia kujifia kwa utapiamlo hata kabla hajalifikisha suala hilo Bungeni!! Huyo Bwana mdogo hana lolote zaidi ya kutaka attention na publicity tu! Nani atamuunga mkono na hoja yake hiyo bungeni? Zitto ameisha lambishwa kitu kidogo, CHADEMA amewatukana sana na haafikiani nao chochote, CUF ni CCM B na wala hawana interest na kitu chochote cha bara; Sasa ataungwa mkono na nani? Mwambieni aache utoto na akome kuanzisha threads kibao kwa majina tofauti ili aonekane onekane kama anaishi!!!!!!!

Hizi design za MS sijui zinatoka wapi?? Kila kukicha zinazidi kuongezeka tu. Sasa hili lijamaa nalo linafikiri limetoa point.
 
TETESI:

Mbunge Kafulila katumwa na Rostam Aziz kupitia kwa Zitto Kabwe ili afufue suala la Dowans na lirudi rasmi Bungeni. Spika Anne Makinda amewekwa pale na Rostam hivyo na yeye ameshapewa maagizo ya jinsi ya kushuhulikia suala hili.

Lengo ni kuiumbua serikali kwa kutonunua mradi huu ili ikubali yaishe na iununue ili kukwepa kulipa fidia waliotakiwa walipe. Pia mjadala huu maalumu utatumika kujaribu kumkosha Edward Lowassa once and for all na kashfa ya Dowans ili 2012 ateuliwe kuwa Katibu Mkuu wa CCM na hivyo 2015 kurithi Urais kutoka kwa Kikwete.

Pia Rostam na Lowassa wameapa kumfukuzisha kazi Ngeleja. Hii imetokana na kitendo cha Ngeleja kujitoa kutoka kundini. Awali Ngeleja alikuwa kundi la kina Rostam, lakini alipoona upepo unawaendea vibaya, akajitoa na sasa hayuko nao tena. Kina Rostam wamekasirika mno na kitendo cha Ngeleja kujitoa kundini na walijaribu kuzuia asirejeshwe Cabinet wakashindwa. Sasa lengo lao ni kumtengenezea kashfa atolewe hapo wizarani waweke mtu wao.

Pamoja na yote, Ngeleja ana uwezo mdogo wa kazi na amekuwa bomu. Ila bora bomu hili litolewe awekwe waziri safi asiye kundi la kina Lowassa/Rostam. Akitolewa Ngeleja akawekwa mtu wa Rostam itakuwa ni kiama zaidi kwa Watanzania.
 
Hizi design za MS sijui zinatoka wapi?? Kila kukicha zinazidi kuongezeka tu. Sasa hili lijamaa nalo linafikiri limetoa point.

Nina wasi wasi kama unajua unachokisema na kama unajua virus za Ms zinasambaaje!!! Acha ku generalise kabla hata ya kufikiria maana nina uhakika hujajua maana ya maandiko yangu!!!
 
TETESI:

Mbunge Kafulila katumwa na Rostam Aziz kupitia kwa Zitto Kabwe ili afufue suala la Dowans na lirudi rasmi Bungeni. Spika Anne Makinda amewekwa pale na Rostam hivyo na yeye ameshapewa maagizo ya jinsi ya kushuhulikia suala hili.

Lengo ni kuiumbua serikali kwa kutonunua mradi huu ili ikubali yaishe na iununue ili kukwepa kulipa fidia waliotakiwa walipe. Pia mjadala huu maalumu utatumika kujaribu kumkosha Edward Lowassa once and for all na kashfa ya Dowans ili 2012 ateuliwe kuwa Katibu Mkuu wa CCM na hivyo 2015 kurithi Urais kutoka kwa Kikwete.

Pia Rostam na Lowassa wameapa kumfukuzisha kazi Ngeleja. Hii imetokana na kitendo cha Ngeleja kujitoa kutoka kundini. Awali Ngeleja alikuwa kundi la kina Rostam, lakini alipoona upepo unawaendea vibaya, akajitoa na sasa hayuko nao tena. Kina Rostam wamekasirika mno na kitendo cha Ngeleja kujitoa kundini na walijaribu kuzuia asirejeshwe Cabinet wakashindwa. Sasa lengo lao ni kumtengenezea kashfa atolewe hapo wizarani waweke mtu wao.

Pamoja na yote, Ngeleja ana uwezo mdogo wa kazi na amekuwa bomu. Ila bora bomu hili litolewe awekwe waziri safi asiye kundi la kina Lowassa/Rostam. Akitolewa Ngeleja akawekwa mtu wa Rostam itakuwa ni kiama zaidi kwa Watanzania.

Mkubwa nakumwagia Thx,you are well informed.
 
Kafulia sijui Kafulila, mi najua unaganga njaa tu, huna lolote la maana. Unakata tawi wakati mzizi unaujua! Sasa Ngeleja akijiuzulu ndo mgao utakwisha? Shirikisha brain wewe...
Mi najua umeshauriwa na huyo Punga mwenzio, ameshalamba mamilioni saizi anasumbua wenzie kwenye chama chake. Wewe kafulila ni mganga njaa tu, kama naibu katibu mkuu wa chama changu.
 
Mhe.Kafulila,
Hakika hoja yako ina maslahi dhahiri kwa Taifa. Naungana na wanaokutakia heri katika hili.Ila mbele yako bado naiona changamoto; wingi wa wabunge wa chama tawala unaweza kuwa kikwazo katika suala la kupiga kura ya kutokuwa na imani na waziri mwenye dhamana katika jambo hili. Itafaa sana ukiangalia namna ya kukivuka kikwazo hicho, matharani kwa kuwashawishi wabunge wengi iwezekanavyo, wauone uzito wa hoja yako na umuhimu wake kwa wapigakura wao.
 
Safi sana mkuu tunaomba siku utakapokua unawakilisha hii Hoja utupe taarifa ili tukasimame pale nje ya jengo la bunge na vibatari vyetu pamoja na mabango tuweze kutia nguvu.
PAMOJA TUNAWEZA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom