Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Status
Not open for further replies.
Huku tuendako siyo! I see the evolution of 'ze utamu'.
 
Kama huogopi ban ziweke mie sina ID mbili mbona ningefanya hivyo. Nimechoka Ban

Mi natumia hii hii ila nikila ban sio issue after all sijawahi kula ban...

Niambie kwanza watanipa ban ya muda gani? Nizimwageeeeee
 
Duh sasa ndio unatupa mzuka au?mbona za mzee wa msituni zilimwaga na thread inaendelea punguza uoga wa ban.

Hizi sio kama za Kapten,hizi ni nouma mambo hadharani.Singo ya leo ni kali aisee ya jana imepotezwa mbaya
 
Na ile cheni kiunoni mie ndo ugonjwa wng sio mashanga kibao size ya mkono yakikatika adhabu kuziokota

Heheiyaaa...basi usinisogelee....na raha ya cheni ivutwevutwe...kweli alifaidi mbunge
 
Hizi sio kama za Kapten,hizi ni nouma mambo hadharani.Singo ya leo ni kali aisee ya jana imepotezwa mbaya

Ha ha ha ha kweli mkuu kitu ni hottest kabisa tena kinaHit Billboard
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…