Mbunge wa Temeke Mhe. Dorothy Kilave agawa madaftari jimboni kwa wanafunzi waliofaulu vizuri kidato cha 4 na 2

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
879
956
Mbunge wa Temeke Mhe. Dorothy Kilave ametoa zawadi za Madaftari Kwa wanafunzi waliofaulu vizuri kidato cha 4 na 2 katika shule ya secondary Lumo pia alishirikiana na wazazi kuongea na wanafunzi hao kuwa na muendelezo mzuri katika masomo yao.
IMG_20210418_185052.jpg
 
Back
Top Bottom