CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
MBUNGE WA TANGA MJINI ATAKA SHULE ZISILIPISHWE MAJI, UMEME
Mbunge wa Tanga Mjini (CUF), Musa Mbarouk ameishauri serikali kufuta gharama za maji na umeme kwa shule za msingi na sekondari nchini ili kuwezesha wanafunzi kupata huduma hizo muhimu kwani hivi sasa shule nyingi zinakatiwa maji na umeme kwa kushindwa kulipa ankara zao.