balaa kubwa hili, naona hii inaweza kuweka zaidi petrol kwenye moto unaowaka...kuna rafiki yangu jana aliniambia baba yake alikuwa anafanya kazi sehemu ambayo sio kabila lake ameambiwa aondoke(kafukuzwa) haraka sana...mambo yakifikia hapo wa kuweza kureverse ni baada ya wote kupeana kipigo cha nguvu mpaka ifikie point mmoja amshinde mwenzake tena sana ndio kuna kuelewana,genocide sio kitu kigumu kutokea na mind za watu zinakuwa kama wanyama tuu na it doesnt take much to trigger that...nafikiri wakenya sasa wanacheza kwenye thin line,mungu awasaidie tuu.