Utajiri wa watu Binafsi EA, Majirani wanajarubi kweli lakini bado

Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
7,212
6,972
Kuna ile mada ya " Maisha ya mkenya wa kawaida" na zenginepo kama Dar Vs Nai" blah blaah, na kunazengine kama ile ya WB real eastate bieng valued more than Nai..... etc ambazo zimekua zikizunguka hapa JF ...... Mimi sitajisumbua kujaribu kueleza maisha ya kawaida ya watu wa nchi zengine manake hata niishi huko kwa mwaka mmoja, sikakua nimejua hali kamili ya maisha manake italingana na mtaaninao ishi na marafiki nilio nao... Na najua pia kuna wananchi wengi zaidi ambao hua wanaishi nje ya miji mikuu...

Anyway, kuna ripoti flani inaitwa "Africa Wealth Report 2018 " ambayo hua inachunguza utajiri wa watu nchi za Africa.... nitaiwacha ripoti hio hapa ijieleze yenyewe....
https://enterprise.press/wp-content/uploads/2018/09/africa-wealth-report-2018.pdf

Hapa tunaongelea Utajiri na wala sio GDP, Yani mali halisi ya mtu ---pesa alizo nazo kwa benki na mali anayomiliki ukiondoa madeni yote..

Top 10 Countries by Wealth per capita, ghana imeishinda Kenya on avg wealth per capita
1549881200068.png

Kwanini wanatumia Wealth/capita badala ya GDP/capita

Interesting note: GDP per capita vs. wealth per capita measures
Reasons why wealth per capita is a better measure of financial health than GDP per capita:
 GDP counts items multiple times (for instance, if someone is paid $100 for a product/service and
they then pay someone else that $100 for another product/service, then that adds $200 to a country’s
GDP even though only $100 has been produced at the start). This is why some analysts prefer using
export figures or GDP generated from primary sectors as a measure of financial health.

 GDP ignores the efficiency of the local banking sector and the local stock market at retaining wealth
in a country.
 GDP disregards income levels in a country.
 In certain countries, a large portion of GDP flows to the government and therefore has little impact
on private wealth creation (example: Zimbabwe, Bahrain).

Wealth statistics, on the other hand, take all of these factors into account, which makes ‘per capita wealth’ a
far better measure of the financial health of an economy than ‘per capita GDP’

2) Alafu tunakuja kwa ukijumuisha urtajiri wa watu binafsi nchi nzima... Hizi ni pesa zinazoshikiliwwa na watu binafsi ukiondoa serikali... Tz na KE zinawakilisha EA pamoja na Ethiopia... Kenya ikiwa na jumla $104B na Tz na Ethiopia ikiwa na $60B ukijumlisha utajiri wa watu binafsi nchi nzima... Nigeria Licha ya kua na population ambayo ni x5 zaidi ya kenya wananchi wao wako na hela ambazo ni x2.5 ya Kenya

1549881521906.png

Ikija kwa utajiri wa watu kulingana na miji, Nairobi iko top 10 Africa ikiwa na $54B, SA ikiwa na miiji mitatu ndani ya top 10

1549881988151.png

Na tukiangalia miji top 30 Africa, Mombasa pia ipo ndani

1549882262942.png

read more: https://enterprise.press/wp-content/uploads/2018/09/africa-wealth-report-2018.pdf

Kwa kifupi kila mtu anajaribu kuboresha maisha ya wananchi wake....tuendelee hivyo hivyo, lakini kwa sasa, hio ndo hali ilioko
 
wee si economist. kwa hiyo issue kama hizi usije nazo. sisi hatuangalii figures tu bali tunafanya na interpretation of figures.
 
Hata uingalie kivipi bado ni vile vile ... ukichanganya utajiri wa watanzania ulingnishe na utajiri wa wakenya tumewaacha mbali... (tena ukumbuke kenya Hatuna mabilionea kama tz) you don’t need to be an economists to know what that means !!!!!

Tena ukibishana kuna ile kitu ya world bank inaitwa “Composite Human Development Index” ambayo inaangalia Hali halisi ya wanainchi bado tumewaacha nyuma!
 
Wachana na huyo kilaza. It's not compulsory for someone to be an economist to understand economic issues. Anyway, your analysis is perfect. East Africa though is one of the poorest regions in the world. I have never known why that is the case, i have always wanted to do research on that issue. Central Africa however is poorer than East Africa. North, West and South Africa are all wealthier than East Africa.
 
Ahaaa haaa haaa
you don't need to be WHAT in order to understand economics facts and figures.
teh teh teh tihiii
 
Umenisikia vizuri sana. Nadhani tumeelewana. Facts and figures ni rahisi kusoma tatizo nyie wabongo hamkifahamu kiingereza.
 
Kwa hiyo approximately 70% ya uchumi wa wa Kenya upo Nairobi, the slumy city , inamaana likitokea tatizo kama natural calamity e.g earth quake Nbo ,Kenya inakaa kwenye vigogo, guys you need to revaluate your selves ,this is very dangerous issue, is like putting all your eggs on one basket, na sehemu za mashinani land cartels wame grab, kwakweli normal Kenyan ni wakumuonea huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa Kenya Upo juu saana tangu enzi za ukoloni, tuache ubishi Nairobi ipo juu saana. Tatizo LA Kenya ni nchi nzima inategemea Nairobi tofauti na TZ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kimburu06, MICHUTZ. Hizo takwimu ni za miji ila tukiingia kwenye Counties Nairobi County haiongozi, ni ya sita kwa utajiri. Kajiado County ndio ya kwanza ikifatwa na Kirinyaga County kisha Meru County, Kiambu County ni ya tano. Hata Lamu County pia, ambayo ni ya nne imeipiku Nairobi County kwa utajiri. Rankings za utajiri kwenye counties 2019 ndio hii hapa. https://naijaquest.com/richest-counties-in-kenya/
 
Kafrican kiswahili mbofu sana,Hii nadhan kama unarudia tu,ilishakua imesemwa humu,Tz bado kuna issue ya ujamaa,mf mimi nimeajiriwa serikalin itanibidi nisomeshe hadi ndugu ambao sana wazaz ili nisionekane mchoyo,Ile utegemezi bado unatukwamisha flan, sasa hii kitu tukiiondoa kila mmoja wetu akapambana kivyake hata tunaweza ndani ya muda mfupi tu tunafika mbali zaidi...

Nadhani hatuhitaji kuwa na mfumo huo wa maisha. Mbali na binadamu kuwa mbinafsi kwa asili lakini anahitaji kuigusa jamii yake (wakiwamo ndugu zake).
Huu utaratibu ni muhimu kwa ustawi wa Tanzania yetu ikiwa tutaufanya kama wahindi, nakupa support baada ya muda unapata mtaji unaanza biashara zako na wewe unampa back-up mwingine etc etc

Biashara nazo zinahitaj uzoefu na uthubutu,mtu anaogopa kuchukua mtaji maana anaogopa kuharibu. ...
Sasa mkulima tu wa wakawaida jembe la mkono anafuga ngombe tatu na kuku kadhaa ukimwambia chukua 1M tsh fanya biashara anaogopa,kuna changamoto sana
Ila itapendeza kama wtz watajaribu biashara mara nyingi tunaogopa kuanguka ndio maana utegemezi haukomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafrican kiswahili mbofu sana,Hii nadhan kama unarudia tu,ilishakua imesemwa humu,Tz bado kuna issue ya ujamaa,mf mimi nimeajiriwa serikalin itanibidi nisomeshe hadi ndugu ambao sana wazaz ili nisionekane mchoyo,Ile utegemezi bado unatukwamisha flan, sasa hii kitu tukiiondoa kila mmoja wetu akapambana kivyake hata tunaweza ndani ya muda mfupi tu tunafika mbali zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa. Mimi kibinafsi huwa napenda ujamaa system kwani hakuna mtu anayeteseka sana kama ubepari huu wetu. Lakini kila mtu ana maoni yake.
 
Kuna ile mada ya " Maisha ya mkenya wa kawaida" na zenginepo kama Dar Vs Nai" blah blaah, na kunazengine kama ile ya WB real eastate bieng valued more than Nai..... etc ambazo zimekua zikizunguka hapa JF ...... Mimi sitajisumbua kujaribu kueleza maisha ya kawaida ya watu wa nchi zengine manake hata niishi huko kwa mwaka mmoja, sikakua nimejua hali kamili ya maisha manake italingana na mtaaninao ishi na marafiki nilio nao... Na najua pia kuna wananchi wengi zaidi ambao hua wanaishi nje ya miji mikuu...

Anyway, kuna ripoti flani inaitwa "Africa Wealth Report 2018 " ambayo hua inachunguza utajiri wa watu nchi za Africa.... nitaiwacha ripoti hio hapa ijieleze yenyewe....
https://enterprise.press/wp-content/uploads/2018/09/africa-wealth-report-2018.pdf

Hapa tunaongelea Utajiri na wala sio GDP, Yani mali halisi ya mtu ---pesa alizo nazo kwa benki na mali anayomiliki ukiondoa madeni yote..

Top 10 Countries by Wealth per capita, ghana imeishinda Kenya on avg wealth per capita
View attachment 1019697

Kwanini wanatumia Wealth/capita badala ya GDP/capita

Interesting note: GDP per capita vs. wealth per capita measures
Reasons why wealth per capita is a better measure of financial health than GDP per capita:
 GDP counts items multiple times (for instance, if someone is paid $100 for a product/service and
they then pay someone else that $100 for another product/service, then that adds $200 to a country’s
GDP even though only $100 has been produced at the start). This is why some analysts prefer using
export figures or GDP generated from primary sectors as a measure of financial health.

 GDP ignores the efficiency of the local banking sector and the local stock market at retaining wealth
in a country.
 GDP disregards income levels in a country.
 In certain countries, a large portion of GDP flows to the government and therefore has little impact
on private wealth creation (example: Zimbabwe, Bahrain).

Wealth statistics, on the other hand, take all of these factors into account, which makes ‘per capita wealth’ a
far better measure of the financial health of an economy than ‘per capita GDP’

2) Alafu tunakuja kwa ukijumuisha urtajiri wa watu binafsi nchi nzima... Hizi ni pesa zinazoshikiliwwa na watu binafsi ukiondoa serikali... Tz na KE zinawakilisha EA pamoja na Ethiopia... Kenya ikiwa na jumla $104B na Tz na Ethiopia ikiwa na $60B ukijumlisha utajiri wa watu binafsi nchi nzima... Nigeria Licha ya kua na population ambayo ni x5 zaidi ya kenya wananchi wao wako na hela ambazo ni x2.5 ya Kenya

View attachment 1019710

Ikija kwa utajiri wa watu kulingana na miji, Nairobi iko top 10 Africa ikiwa na $54B, SA ikiwa na miiji mitatu ndani ya top 10

View attachment 1019725

Na tukiangalia miji top 30 Africa, Mombasa pia ipo ndani

View attachment 1019726

read more: https://enterprise.press/wp-content/uploads/2018/09/africa-wealth-report-2018.pdf

Kwa kifupi kila mtu anajaribu kuboresha maisha ya wananchi wake....tuendelee hivyo hivyo, lakini kwa sasa, hio ndo hali ilioko
Nyie wakenya kinacho wabeba hapo sio maisha mazuri ni uimara wa shilingi ya kenya kwa bata tunalo kula tz hamtaweza kufikia mnamaisha magumu sana na mnanjaa mnashindia maugali na sukuma weak na makande siwezi kutamani maisha ya kenya kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wakenya kinacho wabeba hapo sio maisha mazuri ni uimara wa shilingi ya kenya kwa bata tunalo kula tz hamtaweza kufikia mnamaisha magumu sana na mnanjaa mnashindia maugali na sukuma weak na makande siwezi kutamani maisha ya kenya kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahivyo kwenye takwimu kama hizi wakipiga hesabu za Tz huwa wanatumia Tzshs na za Kenya wanatumia KES? Aisee, sikujua. Alafu kuna zile takwimu zingine za % ya umasikini ambapo Tz inaongoza ukanda huu wote, nadhani hapo pia walitumia Tzshs. Hii ni zaidi ya hujuma.
 
Nyie wakenya kinacho wabeba hapo sio maisha mazuri ni uimara wa shilingi ya kenya kwa bata tunalo kula tz hamtaweza kufikia mnamaisha magumu sana na mnanjaa mnashindia maugali na sukuma weak na makande siwezi kutamani maisha ya kenya kamwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua Tz ndo nchi ya Tatu Africa Kwa watu walio na ulemavu wa kua (stunted growth) ... Na unajua stunted growth inasababishwa na nini? Lack of balanced diet!!!
 
Back
Top Bottom