GAVANA WA NAIROBI ANAOMBA MAONI JINSI YA KUFANYIA OMBA OMBA WA KITANZANIA

waltham

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,522
1,045
After making an effort of flushing out street families from CBD to various county rehabilitation centres, we have just observed a number of beggars suspected to be from a neighboring country have been brought back in our streets( Read Tanzania). I think they were transported from somewhere.
Hebu sasa Nairobians advice me on how to handle this situation? Do we arrest or deport them back to their country?-SONKO GAVANA NAIROBI

27657428_1718723741499300_3466098896654923199_n.jpg

1242002.jpg

Foreign beggars flock Nairobi after Sonko flushes out street families
Feb. 09, 2018, 3:00 pm
By MAUREEN KINYANJUI @misskinyanjuimo
Foreign beggars and street families from neighbouring countries and counties have flocked Nairobi just days after a major operation to flush out those living in the CBD.
Education CEC Janet Ouko on Friday said they are investing those ferrying street families to the city.
More than 1,000 were evicted from the streets during an operation which has been ongoing for the past one week.
Read: Over 200 Nairobi street families evicted in major crackdown
Ouko said the city is a commercial hub and the removal of street kids is part of ongoing cleaning and beautification programme.
"This is part of the governor's main agenda, especially in beautification and keeping the city clean. We don’t want a situation where there is no order," she said.
She said the Inspectorate department, in conjunction with the police, is working round the clock to ascertain the origin of these beggars.

MIMI NAONA KWA SABABU KUNA BALOZI WA TZ KENYA NA YEYE ANJIFANYA HAELEWI WENZAKE WAPO KENYA TOKA KIJIJI KWENDA MJINI WAKIOMBA OMBA, GAVANA ATAFUTE GARI WAWEKWE NDANI WAPELEKWE PALE KWA UBALOZI.....MARA MOJA ANAAMKA NA KUNAWA USO!!!!
 
mwambie apatie chakula na maziwa hawa kwanza

ila wanasikitisha aisee.... I wish everybody could be rich in this world.
c432092ffdc83df57f51531d5f8af2bd-1.jpg
 
Hiyo inaitwa International Begging City to City Strategy, Dom To Nairobi. Just for only one purpose, KUOMBA. Chezea Fursa wewe.
 
Kama hauwezi kuwasaidia usiwanyanyase.
waache waombe.wakipata au wasipo pata.
Hyo sio kazi yako.
OMBA OMBA NI TATIZO LA DUNIA NZIMA.
 
Kama hauwezi kuwasaidia usiwanyanyase.
waache waombe.wakipata au wasipo pata.
Hyo sio kazi yako.
OMBA OMBA NI TATIZO LA DUNIA NZIMA.

haswa mtanganyika sana sana. export na one kwa majirani...........
 
After making an effort of flushing out street families from CBD to various county rehabilitation centres, we have just observed a number of beggars suspected to be from a neighboring country have been brought back in our streets( Read Tanzania). I think they were transported from somewhere.
Hebu sasa Nairobians advice me on how to handle this situation? Do we arrest or deport them back to their country?-SONKO GAVANA NAIROBI

27657428_1718723741499300_3466098896654923199_n.jpg

1242002.jpg

Foreign beggars flock Nairobi after Sonko flushes out street families
Feb. 09, 2018, 3:00 pm
By MAUREEN KINYANJUI @misskinyanjuimo
Foreign beggars and street families from neighbouring countries and counties have flocked Nairobi just days after a major operation to flush out those living in the CBD.
Education CEC Janet Ouko on Friday said they are investing those ferrying street families to the city.
More than 1,000 were evicted from the streets during an operation which has been ongoing for the past one week.
Read: Over 200 Nairobi street families evicted in major crackdown
Ouko said the city is a commercial hub and the removal of street kids is part of ongoing cleaning and beautification programme.
"This is part of the governor's main agenda, especially in beautification and keeping the city clean. We don’t want a situation where there is no order," she said.
She said the Inspectorate department, in conjunction with the police, is working round the clock to ascertain the origin of these beggars.

MIMI NAONA KWA SABABU KUNA BALOZI WA TZ KENYA NA YEYE ANJIFANYA HAELEWI WENZAKE WAPO KENYA TOKA KIJIJI KWENDA MJINI WAKIOMBA OMBA, GAVANA ATAFUTE GARI WAWEKWE NDANI WAPELEKWE PALE KWA UBALOZI.....MARA MOJA ANAAMKA NA KUNAWA USO!!!!

warudishwe tu huko bongolala,maana nchi yao nitajiri na mashamba wanayo:D
 
Asilie lie hapa (crying baby), kwani nchi yenu inaendeshwa kwa kufuata emtions, sentiments au sheria?? kama wanavunja sheria hamna namna ni kuwachukulia hatua za kisheria tu. Warudishe mpaka mpakani watajijua wenyewe.
 
Hapo ni mtihani, maana sio mara ya kwanza kufurushwa kwa Watanzania omba omba waliojaa kwenye barabara zetu, hawa walishafundishwa desturi ya kuomba omba, hata ufanye nini watakuja tu, nchi yao imejengwa kwenye misingi ya kiujamaa, mfumo uliowalemaza wengi kiakili hadi wanaishi maisha ya kuwaza kuomba omba pamoja na kwamba wana raslimali nyingi sana lakini maskini wa kutupwa.

Huyo gavana hapo analo, tena naona anajihangaisha bure, hawa kuomba ipo ndani ya damu miaka yote, nilishasema itabidi kuwavumilia maana tumepakana nao, hivyo tumeunganishwa kwenye kiuno, hatuna jinsi wala nini. Mimi hushangaa tuna majirani wengine kama Somalia na Sudan ambao nch zao zimevurugwa na vita lakini hutawakuta Nairobi wakiomba omba, lakini mivivu ya Wabongo imejazana huku badala ya kufanya kazi, kuomba omba tu.
 
unalia ila nini? kama wameingia bila kibali basi ni wahamiaji haramu, si muwafukuze?? kwani hamna sheria za uhamiaji Kenya? kwa nini msiwarudishe bongo kwenye ujamaa wao waendelee kuomba? unabakia KUONGEA MAMBO YA kichovu na kinyonge? grow up dude!!!
 
Jiwe gizani limekukuta, kwani una ndugu zako wameathirika pia? Hawa huwa wanafukuzwa mara nyingi, lakini kama desturi yenu ya kuomba omba, wanarudi tu, tena kila wakirudi wanakuja na ndugu zao zaidi na kuongezeka zaidi ya awali, nafikiri wakija huko wanawasimulia wenzao wanavyofaidika.
 
Back
Top Bottom