Mbunge wa ODM auwawa Nairobi

Morani75

JF-Expert Member
Mar 1, 2007
613
19
WanaJambo wenzangu, naona BBC wameandika kwamba Mbunge wa kuchaguliwa through ODM party wa Embakasi Jijini Nairobi amepigwa risasi na kufariki jana usiku masaa kadhaa baada ya wagombea wa4 aliowashinda katika uchaguzi kufungua kesi ya kupinga matokeo.....

Nimeiweka hapa sababu ni issue inayotugusa sana kwanza kama EAC Members but also kwa vile instability in Kenya will result in trouble to Tz.... Tumeanza kumaliza issue ya wakimbizi wa Great lakes now Kenya is following suit to trouble......

Wakenya walichoka rushwa, ulaji na ubadhirifu wa mali ya Umma, Tanzania tunafanya nini kuzuia hili?? Ikubukwe "Mwenzako akinyolewa, wewe ......" Tuanze kutia maji manake Tribal lines za Kenya na Tz ni zilezile (more or less) na kitabia hatujatofautiana sana.

For more info:

http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7214558.stm

Mods, you can move it to where it shoudl be (kama haifai hapa) manake najua ni hapa ndipo itapata wasomaji wengi na mimi nime target issue ya Kenya kama mfano lakini point ni Tz mambo haya yanakuja............
 
Inasikitisha sana, naona genocide ya Kenya inaelekea kubaya sana sasa.
May God rest his soul i Eternal Peace.
 
balaa kubwa hili, naona hii inaweza kuweka zaidi petrol kwenye moto unaowaka...kuna rafiki yangu jana aliniambia baba yake alikuwa anafanya kazi sehemu ambayo sio kabila lake ameambiwa aondoke(kafukuzwa) haraka sana...mambo yakifikia hapo wa kuweza kureverse ni baada ya wote kupeana kipigo cha nguvu mpaka ifikie point mmoja amshinde mwenzake tena sana ndio kuna kuelewana,genocide sio kitu kigumu kutokea na mind za watu zinakuwa kama wanyama tuu na it doesnt take much to trigger that...nafikiri wakenya sasa wanacheza kwenye thin line,mungu awasaidie tuu.
 
Oh, Godforbid, yaani sielewi kwakweli, nahisi sisi ni wajukuu wa yule mtoto Adamu aliye laaniwa na Mungu, duu??..
 
hAWA JAMAA WAKENYA KUMBE NI NGURUWE KIASI HIKI JAMANI. KIBAKI KTK UMRI HUUUNAMTAKA NINI MUNGU WEWE BABU?????
 
ni dalili wanapunguzwa hao ili kuweza kufanya uchaguzi mwingine halafu apitishwe wa pnu ili kupitisha agenda mbofu za serikali
 
Jana Nilikuwa Na Mkenya Mmoja Apa Namhoji Why Machafuko Hayaishi.akasema Wakikuyu Toka Uhuru Wamekuwa Wakineemeka Sasa Ni Zamu Ya Wengine Kuneemeka.ivyo Damu Itaendelea Kumwagika Mpaka Apo Mungu Atakapoingilia Suala Ili.
Aliongea Kwa Machungu Kuna Families They Were Born Poor Na Bado Wanateseka Ndani Ya Nchi Yao Na Wachache Wenye Nazo.
This Is The Same To Tz.
Ukiona Mwenzio Ananyolewa Nawe Tia Maji.
Uku Kwetu Si Makabila Ila Koo Fulani Ndo Inaonekana Zastaili Madaraka Mara Mwinyi...kikwete...karume...
Ipo Siku Wananchi Watataka Kufikia Kikomo Cha Yote Ayo.
May God Forbid Kenyans And Intervene For Peace And Democracy To Prevail In Kenya Since Kwa Mungu Yote Yawezekana.
 
Mungu amlaze pema na amsamehe dhambi zake ili ashirikiane naye siku ya kiama kuwahukumu waliotenda dhambi hii kubwa kwa demokrasia na ubinadamu kwa ujumla wake.

Mauaji ni kitu kibaya na kama wameamua kumuua mbunge basi wanataka kuifanya kazi ya ANNAN iwe ngumu na aondoke ili waendeleze Mongiki yao hii.
 
This is believed to be a PNU move to reduce the ODM representation . Lakini nina hakika baada ya hili sasa PNU watakuwa na wakati mgumu popote walipo. Umafia huu hauna maana .Kibaki damu ya wana Kenya iko juu yako .
 
ohh my dogness oooops namean my godness....yaani sitaki kuamini kinachoendelea kenya ni real..yani bado nachukulia kama movie flani labda soon itafika mwisho..lets pray yasifike kwetu hayo
 
ohh my dogness oooops namean my godness....yaani sitaki kuamini kinachoendelea kenya ni real..yani bado nachukulia kama movie flani labda soon itafika mwisho..lets pray yasifike kwetu hayo
Hayo hayana sumile yametambaa mbali sana na sasa yameanza kuinyemelea Tanzania,kama hawa mafisadi wakiteleza kidogo tu kung'ang'ania na kukazana katika ung'ang'anizi wa kuiba kura na kuwanyima wanachi haki yao basi hayo hayako mbali ,naona hatari ile ya Somalia kuwepo bila ya serikali sasa inajisogeza Kenya.
Tanzania tukitaka kuepuka hili basi watu wote na vyama vyote viweke wasimamizi wa kimataifa maana hata mechi makamisaa na marefa hawatokindani ya timu zinazishiriki hivyo busara hii itabidi ianze Tanzania katika uchaguzi ujao na naamini nchi nyengine zote zitafuata mfumo huu wa kuleta wasimamizi na makamisaa wa uchaguzi kutoka nje ya nchi.
Muungwana ili kuinusuru Tanzania na machafuko yanayosababishwa na mabishano ya uchaguzi basi uangalizi na usimamizi wa Uchaguzi ikabidhi United Nation ,ili kuondoa matatizo ambayo yakianza kutakuwa hakuna polisi wala jeshi wala usalama wataifa anaeweza kuyasimamisha itakuwa ni kuchinjana kama kuku wenye videri.Na hadi kukaa sawa kutakuwa hakuna tena vyama bali ni ukabila na naona Tanzania ni rahisi kugawika katika STATES kutokana na mikoa yake kuwa ya Kikabila.
Naamini hakuna lisilo wezekana anza kutangaza na kufanya kampeni za kuukabishi Uchaguzi mkuu kwa vyombo vya kimataifa ili watayarishe hela.
 
I dare say, kama CCM hawatabadili mwelekeo wao huu ulivyo sasa kungali mapema, sote tunaelekea huko huko walikofikia wenzetu wakenya.

Sana sana nafuu yetu ipatikane kwa kuimarika vyama vya upinzani, hasa kwa kuongeza wabunge (may be).
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom