wilchuma
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,102
- 333
Mbunge wa CHADEMA Cecily Mwambe ameshinda kesi ya Ubunge iliyokuwa inamkabili baada ya aliyekuwa Mgombea wa CCM kufungua kesi ya kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Mwambe kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Hukumu imemalizika kusomwa muda mfupi uliopita mjini Masasi, Mtwara.