Mbunge wa Mwibara (CCM) haonekani

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
SALAM.

Miongoni mwa wabunge machachari CCM ni Mh Kangi Lugola, Mbunge wa Mwibara (CCM). Mbunge huyu amekuwa na uthubutu mkubwa sana pindi serikali iliyopo madarakani inapokuwa inaenda ndivyo sivyo. Pamoja na mwenzie Deo Filikunjombe (RIP).

Toka mtifuano ndani ya CCM uanze, Kangi Lugola yupo kimya sana.Haonekani hadharani lakini pia hasikiki kabisa.

Kangi Lugola upo wapi?Umepotelea wàpi baba?
 
Usikae ukawaamini CCM hata siku moja, wanaweza kukudanganya na kukushawishi kuwa Mvua inayesha nje hadi ukakubali, hata kama ni jua kali wao wanaona mvua......
 
yuko bize na ujenzi wa apartment zake majengo Bunda, yupo kila siku hapa town mbona.
 
Back
Top Bottom