inavyoelekea wewe sio mkazi wa jimbo la morogoro mjini.kama kweli jitokeze kwenye mojawapo ya mikutano yake ya hadhara mbele ya wananchi wa jimbo hili halafu useme hayo uliyoandika na utapata majibu ambayo sidhani kama utayasahau maishani kutoka kwa wananchi wa jimbo hili.sie wananchi wa morogoro mjini hatutaki wabunge wa kuganga njaa.uelewe ya kuwa sio kila jambo lipelekwe bungeni kama ambavyo unavyofikiria.kazi ya mbunge ni kutatua na kuyashughulikia matatizo ya wananchi ama kwa kuyatatua mwenyewe kama mbunge au kuiomba serikali kusaidia kutatua.nadhani wewe bado umelala wakati wananchi wa morogoro wameshaamka,huu mwaka wa 3 sasa.ww ndio kwanza bado upo kitandani umefumbua macho.inaelekea ndugu yangu njaa inakusumbua.pole sana.:high5: