Kwa hio yupo bungeni kwa chama gni?Mh.Silinde leo ameomba rasmi kujiunga na Chama Mapinduzi, na amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zote.
Spika Ndugai amemkaribisha na kumhamisha kwenye viti vya Upinzani kumpeleka kwenye viti vinavyokaliwa na wabunge wa CCM.
Hivyo kuanzia leo rasmi Silinde ni mbunge wa CCM na atakaa upande wa wabunge wa CCM.
Live kutoka bungeni.
Naona msiba wa Burundi sasa itakuwa agenda yenu kuu!Kwa hio yupo bungeni kwa chama gni?
Ndungai hajasikia ya burundi? Kibri hakina mwisho mzuri
Walinzi waliondolewa kwa ajili ya coronaKwanini Police washiwashike hao walinzi?
Mh.Silinde leo ameomba rasmi kujiunga na Chama Mapinduzi, na amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zote.
Spika Ndugai amemkaribisha na kumhamisha kwenye viti vya Upinzani kumpeleka kwenye viti vinavyokaliwa na wabunge wa CCM.
Hivyo kuanzia leo rasmi Silinde ni mbunge wa CCM na atakaa upande wa wabunge wa CCM.
Live kutoka bungeni.
Mh.Silinde leo ameomba rasmi kujiunga na Chama Mapinduzi, na amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zote.
Spika Ndugai amemkaribisha na kumhamisha kwenye viti vya Upinzani kumpeleka kwenye viti vinavyokaliwa na wabunge wa CCM.
Hivyo kuanzia leo rasmi Silinde ni mbunge wa CCM na atakaa upande wa wabunge wa CCM.
Live kutoka bungeni.
Si wameahajiandalia mazingira ya kutokushtakiwa hata wakiikojolea KatibaMh.Silinde leo ameomba rasmi kujiunga na Chama Mapinduzi, na amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa nguvu zote.
Spika Ndugai amemkaribisha na kumhamisha kwenye viti vya Upinzani kumpeleka kwenye viti vinavyokaliwa na wabunge wa CCM.
Hivyo kuanzia leo rasmi Silinde ni mbunge wa CCM na atakaa upande wa wabunge wa CCM.
Live kutoka bungeni.
Mkuu, Bwana Kitwanga amesema walinzi walikuwepo wakati wa hili Tukio.Walinzi waliondolewa kwa ajili ya corona
Kivipi?Naona msiba wa Burundi sasa itakuwa agenda yenu kuu!