Umempatia kweliKaa utulie andika kitu cha kueleweka .Au Mwenye nyuzi nyingi kwa Siku anaongezewa posho huko lumumba
Amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha mapinduzi.
Aende tu,Amesema yupo tayari kukitumikia Chama Cha mapinduzi.
Na zisizo na maana...Hili swala Lina sarakasi nyingi sana.
Na Leo amelala mauti...Sawa,hata nkurunzinza alikuwa hivi
chauma atumtakiPopote tu aende hata Chauma