RIP Veda
alikua staff pale pspf mwanza
dogo sana
poleni wafiwa
Asante kwa maelezo
RIP Veda
alikua staff pale pspf mwanza
dogo sana
poleni wafiwa
RIP Veda
alikua staff pale pspf mwanza
dogo sana
poleni wafiwa
nothing to write, just tears of loosing a close friend mtu ambaye hata pocket money tulichanganya na kutumia pamoja, what a pity.
Umemtoa Lukule ubaki katika ubunge
Siamini umeandika hii comment. Sasa kanyan'ganywa uwaziri uta-comment nini tena?Inatuhusu Nini Sisi? Bora gamba moja limepungua!
Mkuu huwa watu hawaoni kuwa kumtakia binadamu maafa au mabaya , basi unajipalilia mwenyewe makaa ya moto wa laana.Siamini umeandika hii comment. Sasa kanyan'ganywa uwaziri uta-comment nini tena?
ruddi huku uukumbuke huu uziMkuu huwa watu hawaoni kuwa kumtakia binadamu maafa au mabaya , basi unajipalilia mwenyewe makaa ya moto wa laana.
inasemekana ndi chanzo chake cha kuutwikaa?Umemtoa msukule ubaki katika ubunge
anzisha mahalaMkuu huwa watu hawaoni kuwa kumtakia binadamu maafa au mabaya , basi unajipalilia mwenyewe makaa ya moto wa laana.
niliwahi kuambiwa kuhusu hiki kifo na ulevi wa kupindukia wa mheshimiwa ...kimechanyanganya sana kwa sababu ya kuhusishwa na imani ...atiiNaibu Waziri na Mbunge wa Misungwi Charles "mawematatu", amefiwa na mtoto wake wa kiume kwa ajali ya gari hapa Mwanza. Vedastus Kitwanga amekutwa na mauti jumamosi. Mazishi ni kesho nyumbani,kwake Misungwi. Bwana ametoana bwana ametwaa.
niliwahi kuambiwa kuhusu hiki kifo na ulevi wa kupindukia wa mheshimiwa ...kimechanyanganya sana kwa sababu ya kuhusishwa na imani ...atii
Hivi we Mtaka huwa una "ugonjwa" wa kuandika maherufi makubwa makubwa?Iwe Fb au huku tabia ni hii hiiR.I.P VEDA,Pole sana Mh.Kitwanga,,MUNGU AKUSTAHIMILISHE KWENYE HUU WAKATI MGUMU ULIONAO.
RIP Veda
alikua staff pale pspf mwanza
dogo sana
poleni wafiwa