Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,752
- 218,340
Atahangaika sana , nakuhakikishia njia pekee ya yeye kuwa Mbunge wa Mbeya ni kumuuwa Sugu kwa uchawi au kwa bunduki , lakini Sugu akiwa hai hilo halitatokeaKale kabinti ka bunge kameongea weee na kameonga hadi Sasa miwani yake imelegea eti nako kanataka ubunge
SWISSME
una uwezo mdogo sana kichwani .Ukitaka kujua sugu ni maarufu fanya review ya siku aliyokuwa anapelekwa lockup.
Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi mno !Nimevuta taarifa yake ya 2015 inaonesha ndie mbunge aliepigiwa kura na wapiga kura wengi zaidi kuliko mbunge yoyote kati ya wabunge 257 wa bunge la JMT.
Sugu noma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha anakubalika kuliko mbowe?Nimevuta taarifa yake ya 2015 inaonesha ndie mbunge aliepigiwa kura na wapiga kura wengi zaidi kuliko mbunge yoyote kati ya wabunge 257 wa bunge la JMT.
Sugu noma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshtueni Sugu mwambieni ajiandae kuongeza miradi zaid ya hoteli mana 2020 harud tena nasema harudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mgombea kutoka ccm atakayeweza kupambana na Sugu akiwa haiMshtueni Sugu mwambieni ajiandae kuongeza miradi zaid ya hoteli mana 2020 harud tena nasema harudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuhakikishia mkuu Sugu akirud 2020 naondoka hata hapa Jamie forumHakuna mgombea kutoka ccm atakayeweza kupambana na Sugu akiwa hai
huna lolote mjombaNakuhakikishia mkuu Sugu akirud 2020 naondoka hata hapa Jamie forum
Tunza comment yang
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia Ackson bado ataendelea kuambulia aibu tu.View attachment 1028552
Bado mpaka sasa hazijafahamika sababu hasa za kijana mdogo kama huyu kujizolea umaarufu mkubwa namna hii kiasi cha kuwabwaga wazee kadhaa ikiwa ni pamoja na viongozi waliopo madarakani , wakiwemo mawaziri wa sasa na wa zamani , Sugu ndio Dira na muongozo wa wateule wote kuanzia polisi , Wakurugenzi , wakuu wa wilaya na hata RC's wote wanaokuja Mbeya , Hii si karama ya kawaida !
Ukicheza na mtu huyu waweza kufaidika au kupata hasara , wako Viongozi waliopandishwa vyeo kwa kujaribu kupambana na Sugu , lakini wako walioshushwa vyeo ama kuhamishwa kwa sababu za huyu huyu Sugu pia , Bali jambo lililo wazi ni kwamba Wananchi wa Mbeya huyu Sugu ndio " RAIS WAO " na ukitaka kushushwa thamani ujaribu kupambana naye .
Na bunduki haina tena guarantee mkuu, si umeona kamanda Lissu?Atahangaika sana , nakuhakikishia njia pekee ya yeye kuwa Mbunge wa Mbeya ni kumuuwa Sugu kwa uchawi au kwa bunduki , lakini Sugu akiwa hai hilo halitatokea
Ujinga mtupu.View attachment 1028552