Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa sasa ndiye Mtu Maarufu zaidi Mkoani Mbeya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,448
215,236
FB_IMG_1550781369766.jpg

Bado mpaka sasa hazijafahamika sababu hasa za kijana mdogo kama huyu kujizolea umaarufu mkubwa namna hii kiasi cha kuwabwaga wazee kadhaa ikiwa ni pamoja na viongozi waliopo madarakani , wakiwemo mawaziri wa sasa na wa zamani , Sugu ndio Dira na muongozo wa wateule wote kuanzia polisi , Wakurugenzi , wakuu wa wilaya na hata RC's wote wanaokuja Mbeya , Hii si karama ya kawaida !

Ukicheza na mtu huyu waweza kufaidika au kupata hasara , wako Viongozi waliopandishwa vyeo kwa kujaribu kupambana na Sugu , lakini wako walioshushwa vyeo ama kuhamishwa kwa sababu za huyu huyu Sugu pia , Bali jambo lililo wazi ni kwamba Wananchi wa Mbeya huyu Sugu ndio " RAIS WAO " na ukitaka kushushwa thamani ujaribu kupambana naye .
 
View attachment 1028552

Tulia Ackson bado ataendelea kuambulia aibu tu.
 
Ujinga mtupu.
Pengine yuko maarufu kwa ninyi machinga.
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom