Ndio nasema wananchi hapo ndio wanatakiwa watumie akili zao za kuzaliwa, mtu amekaa miaka 5 leo hii anawaletea shuka za elfu 6, 6. Lazima mjitambue eti wanamshangilia, mpaka nawaonea huruma. Ok lakini kampeni upande wa vijijini raha tupu mzee kasoma hadi std (iv), kutoka january hadi hii leo April hajawahi kukamata hata elfu 5, sasa leo unampa khanga na elf 25,000 atakuona wewe kama Mungu wake