Mbunge wa Longido kustaafu ubunge 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Longido kustaafu ubunge 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Filipo, Oct 4, 2012.

 1. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mbunge huyo ameyasema hayo kwenye mkutano wa uchaguzi wa ccm uliokuwa unafanyika mjini Longido. Amesema hatagombea tena Ubunge bali ataendelea kukitumikia na kukijenga chama chake.
  Source: Itv habari
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Atastaafu baada ya uchaguzi wa 2015, au kabla ya 2015? fafanua kaka!
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  ubunge siyo dili tena
   
 4. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Siyo hivyo, huyo kaogopa moto wa M4C.
   
 5. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  waacheni wafu wawazike wau wao...
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Huyu Lekule Laiser Kasoma Alama za Nyakati.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  kasoma alama za nyakati
   
 8. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  MUONGO UYO KASOMA ALAMA ZA NYAKATI. MNAKUMBUKA UKO KWAO KUNA KIJIJI KIZIMA KILICHOKUWA CHINI YA CCM KIMEAMIA CDM??? USICHEZE NA M4C BANa..
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,524
  Likes Received: 10,441
  Trophy Points: 280
  huyu atakua na presha.
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Bila shaka itakuwa amenukuu alama kweli kweli!
   
 11. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo alitaka kukwapua U-NEC wa kustaafu nao!
   
 12. N

  Ngayelo Member

  #12
  Nov 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aisee kama ni kuchangia mada ndugu yangu unafaa na unaonyesha jinsi gani umekerwa sana. Lini wananchi wapenzi wa mundarara wataacha kufukua udongo kwa kutumia kucha zao kama kware hapo nje ya mgodi? Wakati wawekezaji hapo wanapakuwa siagi MUNGU aliowawekea wananchi haao? Nisaidieni hii kitu inanichefua.
   
 13. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,925
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  Au anazuga ili badae ahamie chadema

  yasije yakawa yalee ya mpendazoe wa kishapu
   
Loading...