figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Habari yenu wakuu,
Mbunge wa Kawe Halima Mdee, ameshinda Kesi ya Uchaguzi, iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa Ubunge Kawe kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mkuu wa 2015, Kippi Warioba.
Hii ni habari njema kwa wapenda mabadiliko.
Habari zaidi, stay tuned.