Mbunge wa Jimbo la Mpendae aidhalilisha CHADEMA

by fionamushi;
hilo jimbo liko zanzibar kamanda

Mkuu thanks for info!
 
· Anaichonganisha na Kuigombanisha CCM, na POLISI dhidi yaCHADEMA, kwa kuwafananisha watu wote anaowadharau yeye kuwa ni sawa na CHADEMA na hawana lolote wanaloweza kufanya kama ambavyo chadema haiwezi kuzifanya kitu CCM na POLISI. Amesema maneno na mifano hii mbele ya maafisa wa polisi na kwamba yeye ni mbunge wa jamuhuri ya muungano tena kupitia CCM na kwamba anawadharau wote wanaopingana naye na kwamba hawana lolote la kufanya kwa kuwa wao ni kama CHADEMA tu. Hata walalamike vipi hakuna wanaloweza kufanya dhidi yake.

Kwenye hili pia anakifanya chama chake cha CCM kionekane kinaikandamiza CHADEMA kwa kushirikiana na POLISI.
 
attachment.php

Mbunge wa jimbo la Mpendae CCM Salim Hassan Abdullah Turky amekidharirisha, kukifedhehesha, na kukitukana Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kusema kwamba ni chama cha watu wasio na akili ,wasio na misingi na kwamba CCM inaweza kuwafanya lolote na wasifanye kitu.

Mbunge huyo amewadharirisha CHADEMA mbele ya kikao cha usuluhishi baina ya Upande wao na wenzao kilichofanyika Central polisi hivi karibuni,mbele ya Maafisa waandamizi wa polisi,ambapo aliitwa pamoja na upande wa pili ambao wanaopingana kujadili namna ya kutatua mgogoro wao.

Aliwafananisha anaopingana nao sawa na CCM wanavyowanyanyasa CHADEMA bungeni na kwamba sauti yao haina pa kusikika na wasio na lolote wala chochote.
Hii ni dharau kubwa kufanywa na Mbunge kwa CHADEMA.

Au makamanda wako busy na kampeni za Mbowe?...
 
Mtoa uzi hata hueleweki, sana sana nilichogundua tu ni kwamba una mahaba na CCM. Shame on you!
 
kumbe jimbo liko Zanzibar?, jimbo lingekuwa Tanganyika ningepata shaka.
 
Sura tabia ya huyu mbumge ni sawa na wale watumiao mtandao wa Tigo maana gharama yake ni ndogo!

Inaelekeaa huyu mbungee anawatesaa sanaa wananchi wakee maana chademaa kaifanyee hivyoo hao rai wake itakuajee sasa
 
Tunampuuza kama wapuuzi wengine hatuna muda naye tunasonga mbele

Back
Top Bottom