Mbunge wa Jimbo la Mpendae aidhalilisha CHADEMA

Mbunge wa Jimbo la Mpendae aidhalilisha CHADEMA

shadow recruit

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
1,844
Reaction score
384
attachment.php

Mbunge wa jimbo la Mpendae CCM Salim Hassan Abdullah Turky amekidharirisha, kukifedhehesha, na kukitukana Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kusema kwamba ni chama cha watu wasio na akili ,wasio na misingi na kwamba CCM inaweza kuwafanya lolote na wasifanye kitu.

Mbunge huyo amewadharirisha CHADEMA mbele ya kikao cha usuluhishi baina ya Upande wao na wenzao kilichofanyika Central polisi hivi karibuni,mbele ya Maafisa waandamizi wa polisi,ambapo aliitwa pamoja na upande wa pili ambao wanaopingana kujadili namna ya kutatua mgogoro wao.

Aliwafananisha anaopingana nao sawa na CCM wanavyowanyanyasa CHADEMA bungeni na kwamba sauti yao haina pa kusikika na wasio na lolote wala chochote.
Hii ni dharau kubwa kufanywa na Mbunge kwa CHADEMA.
 
Jimbo la Mpendae lipo mkoa gani mkuu fionamushi

Alafu huyo mbunge ndio kwanza namsikia leo!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nimuhindi asiye jielewaa pili anataka kukuzaa jina lakee kiaina akafiee mbele huko
 
nimeicheki video yake alikua akimlazimisha kamanda wa polisi kutoa upendeleo kwa sababu wao ni chadema na yeye CCM,hii haikubaliki hata kidogo Makamanda
 
nimeicheki video yake alikua akimlazimisha kamanda wa polisi kutoa upendeleo kwa sababu wao ni chadema na yeye CCM,hii haikubaliki hata kidogo Makamanda

Polen makamandaa ila huyo mbungee ni kilaza yan kwa kuwa yeye ni ccm ndoo anaonaa ni kama mungu hawa ndoo wabungee wa kupigwaa maweee
 
wakishindiliwa vitu wanaanza kulalama oooh kanzu zinalowana ..haya majitu haya
 
Chadema itawafyeka wote,wanajidanganya chadema ni storm
 
Jimbo la mpendae,be serious ww,umeshndwa hata ku google uthibitishe
 
Back
Top Bottom