Mbunge wa Jimbo la Kilombero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Jimbo la Kilombero

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Magane, Jul 29, 2011.

 1. M

  Magane Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Tafadhali wana JF naomba kwa yeyote mwenye taarifa za mbunge wa jimbo la Kilombero.Sababu sijapata kusikia akichangia hoja yoyote kutoka kwake.Au labda yuko nje ya nchi masomoni.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,420
  Likes Received: 19,729
  Trophy Points: 280
  unataka umsikie ccm akiongea nini bungeni?
   
 3. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,533
  Likes Received: 1,526
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa inawezekana ni bubu,hajui kuongea, anadai huwa anachangia kwa maandishi. Hata kwenye kampeni zake alikuwa anasema "nyie nichagueni tu,kila kitu ntamaliza. Kwanza c mbunge wa kilombero,ni mbunge wa ccm. Cc tulimchagua dada Regia Mtema. Kuna ushahidi kuwa hata mademu huwa anatongozewa. Huyu bwana ndo mbunge mzigo kuliko wote bumgeni. Afadhali hata john komba
   
 4. Mbavu mbili

  Mbavu mbili JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 60
  Kwa kuwa alimchakachua KURA ZAKE dada yetu kipenzi jimboni REGIA MTEMA a.k.a JEMBE....Regia Mtema amemchakachua Mbunge huyo Mjengoni
  Amekuwa viti maalumu
   
Loading...