Mbunge wa Jimbo la Bunda mjini, Esther Bulaya yuko wapi?

mende 2014

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
763
131
Hili Jimbo lilichukuliwa na Esther Bulaya baada ya wananchi kumkataa Steven Wassira. Sasa tangu achaguliwe hadi leo hii hata haeleweki na hatujui kuwa yako wapi maana tangu bunge limeisha wabunge wengine tunawaona majimboni mwao lakini huyu wa kwetu hatumuoni. Je, tulimchagua ili apate nafasi ya kutalii? Naona kama hatuna mbunge katika Jimbo hili.
 
Ng'omb.e wa mwendo kasii...
Hata kuandika ni tabu...!!?!!
 
Mbona Wasira muda wote aliishi Dar hamkuwahi kuhoji ?! Au ukiwa mbunge huna mambo yako ya binafsi ?! Acheni kumsakama bi dada atakuja tu.
 
Anashughulikiwa na mwenye mali yake unataka kwenda kumsaidia !?
 
Hili Jimbo lilichukuliwa na Esther Bulaya baada ya wananchi kumkataa Steven Wassira. Sasa tangu achaguliwe hadi leo hii hata haeleweki na hatujui kuwa yako wapi maana tangu bunge limeisha wabunge wengine tunawaona majimboni mwao lakini huyu wa kwetu hatumuoni. Je, tulimchagua ili apate nafasi ya kutalii? Naona kama hatuna mbunge katika Jimbo hili.
Ha ha ha.
Bunda imebundwa
 
Hukuwahi kumuulizia wasira hata mara moja vipi kumtafuta Ester?! Au ndio yale yale ya unyanyasaji wa kijinsia? kwa kuwa ni KE basi unataka umchafue utakavyo, fanya kazi kumtafuta tafuta mtoto wa kike utapata hasara bure.
 
Hili Jimbo lilichukuliwa na Esther Bulaya baada ya wananchi kumkataa Steven Wassira. Sasa tangu achaguliwe hadi leo hii hata haeleweki na hatujui kuwa yako wapi maana tangu bunge limeisha wabunge wengine tunawaona majimboni mwao lakini huyu wa kwetu hatumuoni. Je, tulimchagua ili apate nafasi ya kutalii? Naona kama hatuna mbunge katika Jimbo hili.

Yupo likizo anasubiria 2020 aje kufanya siasa!
 
Back
Top Bottom