MLAU JF-Expert Member Aug 23, 2007 4,726 3,354 Dec 2, 2016 #1 Mbunge wa Ilala Mh Zungu amelazwa MOI baada ya kujisikia vibaya. Taarifa kamili later....
CHEKA UPIGWE JF-Expert Member Dec 28, 2015 252 176 Dec 2, 2016 #2 Daaa pole kwa Mh Zungu. Tukitarajia habari kamili punde.
Kazitunayo JF-Expert Member Mar 30, 2013 3,773 3,160 Dec 2, 2016 #4 Kua mkweli ujiskie vibaya ulazwe Moi?
K Koryo2 JF-Expert Member Nov 28, 2016 2,056 2,515 Dec 2, 2016 #6 Pole sana Mheshimiwa Zungu. Huyu Mhe.ni mmoja wa Wabunge maakini sana katika Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania.
Pole sana Mheshimiwa Zungu. Huyu Mhe.ni mmoja wa Wabunge maakini sana katika Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania.
O Olecranon JF-Expert Member Apr 11, 2011 1,384 751 Dec 2, 2016 #7 Koryo2 said: Pole sana Mheshimiwa Zungu. Huyu Mhe.ni mmoja wa Wabunge maakini sana katika Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania. Click to expand... Fafanua ili na sisi tufahamu umaarufu wake.
Koryo2 said: Pole sana Mheshimiwa Zungu. Huyu Mhe.ni mmoja wa Wabunge maakini sana katika Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania. Click to expand... Fafanua ili na sisi tufahamu umaarufu wake.
accused JF-Expert Member Aug 7, 2015 2,496 2,740 Dec 2, 2016 #8 Angejisikia vibaya tu tungemlaza hata Amana yatosha... Sasa wewe Hii Habari gani? Sikuhizi Moi wameanzisha kitengo cha bedrest? Funguka Acha mbwembwe
Angejisikia vibaya tu tungemlaza hata Amana yatosha... Sasa wewe Hii Habari gani? Sikuhizi Moi wameanzisha kitengo cha bedrest? Funguka Acha mbwembwe
accused JF-Expert Member Aug 7, 2015 2,496 2,740 Dec 2, 2016 #9 Olecranon said: Fafanua ili na sisi tufahamu umaarufu wake. Click to expand... Ila mkuu kasema ni Mbunge makini na si maarufu Kama ulivyonukuu. Acha debate na endelea kumuombea apone yanayomsibu Zungu
Olecranon said: Fafanua ili na sisi tufahamu umaarufu wake. Click to expand... Ila mkuu kasema ni Mbunge makini na si maarufu Kama ulivyonukuu. Acha debate na endelea kumuombea apone yanayomsibu Zungu