Mbunge wa Ilala Mh Zungu alazwa MOI

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,354
Mbunge wa Ilala Mh Zungu amelazwa MOI baada ya kujisikia vibaya.
Taarifa kamili later....
 
Pole sana Mheshimiwa Zungu. Huyu Mhe.ni mmoja wa Wabunge maakini sana katika Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania.
 
Angejisikia vibaya tu tungemlaza hata Amana yatosha... Sasa wewe Hii Habari gani? Sikuhizi Moi wameanzisha kitengo cha bedrest?

Funguka Acha mbwembwe
 
Back
Top Bottom