Mbunge wa CHADEMA Kurudi CCM Kwenye mkutano wa CCM Morogoro.

Mbunge wa CHADEMA Kurudi CCM Kwenye mkutano wa CCM Morogoro.

Status
Not open for further replies.

Maudodo

Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
30
Reaction score
16
Mbunge mmoja jina linahifadhiwa kwa sababu za Usalama wake kupitia CHADEMA kesho anatarajiwa Kurudi CCM. Mbunge huyo amesoma amechukua uamuzi huo ili kuondoka na na ujinga unaofanywa na wabunge wenzake wa CHADEMA Bungeni.
 
Matapishi, kajina linahifadhiwa kwa nn upost? Si usubili ahame? Kawaeleze familia yako .....ko
 
Vitoto vya Nchemba vinahangaika mpaka basi, ni kwasababu bila kuhusisha CHADEMA kwenye thread zenu mnajua hazichangiwi maana hamna jipya bila propaganda za kitoto...!
 
Mbona unatoa povu, mbona mnaleta matapishi ya maandalizi ya mikutano ya CDM humu na sisi tunakaa kimya, acha ujinga.
 
HANA JIPYA MBULULA TU... Yaani kuitwa KAMANDA halafu leo hii Unasaliti JESHI LA UKOMBOZI. Hivi unaakili wewe Mbunge?
 
Hivi Zitto yupo? Mbona simsikii bungeni zaidi ya kumuona kwenye kigoda na kongamano la elimu Nkrumah Udsm?
 
Arudi tu, sikashapewa hela! kuna la maana analolifuata?

Tena maccm tulishd waambia CHADEMA haitegemei mtu bali watu kwa kuwa umma unajua kazi moja tu iliyopo mbele yake' NI KUIKOMBOA NCHI KUTOKA KWA MANYANG'AU CCM MKOLONI MWEUSI'.
 
Mh!

Hope ni ZITTO au SHIBUDA.
Maana inaweza ikawa ni Ahueni kubwa sana kwa CHADEMA na Mapambano ya kumuondoa mkoloni mweusi kiujumla.

Umenena Mkuu!! Watu wote wangekuwa na akili kama zako nchi hii ingekuwa mbali Kiuchumi na Sio Kifisadi kama ambavyo ipo sasa!!

Hata hivyo Siku zote "Kuvuja"kwa Pakacha ni Ahueni kwa Mbebaji! Waswahili walinena haya!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Kuna kadi zenu Loliondo mkazichukue au tuzichome moto....?
 
Watu wazima wanavaa suti kali halafu wanaenda kufanya vurugu bungeni huku wanaangaliwa na dunia nzima? Aibu gani hii
 
Vp kesho lumumba hakufunguliwa mshaenda kuchukua buku7 zenu.mkumbushe SUMU ZE MACOPOLO GONGOLAMBOTO au atawarushia kwenye M-pesa kama kawaida yenu
 
Mbona wapo wabunge wengi tu wa chadema wanaomba krudi nyumbani ccm, sema chama kinawachunguza kwanza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom