Mbunge wa CHADEMA Kurudi CCM Kwenye mkutano wa CCM Morogoro.

Mbunge wa CHADEMA Kurudi CCM Kwenye mkutano wa CCM Morogoro.

Status
Not open for further replies.
Mbunge mmoja jina linahifadhiwa kwa sababu za Usalama wake kupitia CHADEMA kesho anatarajiwa Kurudi CCM. Mbunge huyo amesoma amechukua uamuzi huo ili kuondoka na na ujinga unaofanywa na wabunge wenzake wa CHADEMA Bungeni.

WEWE UTAKUWA HUWAJUI WABUNGE MAMBULULA, NI WABUNGE WOTE WA CCM WANAOKWENDA BUNGENI KUFANYA KAZI YA KUITETEA SERIKALI BADALA YA JUKUMU LAO LA KUISIMAMAMIa, WAKATI CHADEMA IKIZID KUAMINIWA CCM MNAANGAIKA KUNUNUA W. CHAMA, SHAME ON U CCM ATA WATOTO WANAWADHARAU, UYO MMOJA AENDE TU,
 
Watu wazima wanavaa suti kali halafu wanaenda kufanya vurugu bungeni huku wanaangaliwa na dunia nzima? Aibu gani hii

Watoto wadogo wamevaa serukamba...f...yu(cmm) or what do u contend.hata hivyo mzee kawawa,mwl.na wazee wengine wachache fought for au independence in regardless of their no. From colonial .so my dear hata kama ni part affiliation nt to that much,look on n contemplete.
 
Vitoto vya Nchemba vinahangaika mpaka basi, ni kwasababu bila kuhusisha CHADEMA kwenye thread zenu mnajua hazichangiwi maana hamna jipya bila propaganda za kitoto...!

kumbe nao chadema kiboko yao nchemba hamuishi kumtajataja
 
Mbunge mmoja jina linahifadhiwa kwa sababu za Usalama wake kupitia CHADEMA kesho anatarajiwa Kurudi CCM. Mbunge huyo amesoma amechukua uamuzi huo ili kuondoka na na ujinga unaofanywa na wabunge wenzake wa CHADEMA Bungeni.

Ngumu sana KUVUA GWANDA NA KUVAA GAMBA,,labda iwe Vice Versa kama ikiwa hivyo naahidi NITAJILAMBA PUA.
 
Najua kesho Pro-CHADEMA watahaha sana humu ndani....CCM sio wajinga kuurusha mkutano live via TBC
 
Mbona wapo wabunge wengi tu wa chadema wanaomba krudi nyumbani ccm, sema chama kinawachunguza kwanza.

Acha kuonyesha kudumaa kwa akili yako wewe, nani anataka kurudi chama kilichojaa mafisadi, magaidi na mataahira. Mwenye akili timamu yeyote yule hawezi kutaka kujihusisha na CCM ni wapumbavu, mafisadi na magaidi ndio wamejaa huko.
 
QUOTE=The silent.;6177962]Arudi tu, sikashapewa hela! kuna la maana analolifuata?[/QUOTE]

She-buda ni kama Jukebox linalokaa kwenye Ma-bar, Ukiwa na hela yako tu unachagua muziki unaoutaka lenyewe linaucheza tu bila ya kuuliza.
Ni vizuri umetumia neno "Kurudi" kuonyesha kwamba ametoka huko huyo mramba matapishi asiyejielewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom