Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Najua kesho Pro-CHADEMA watahaha sana humu ndani....CCM sio wajinga kuurusha mkutano live via TBC
Wanaurusha TBC si kwasababu ni yao. Wanaitumia bure kwa maagizo kutoka Ikulu. Au mnataka kujifanya mmeshavuna za meno ya tembo huko Gairo mlikopiga kambi?