Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa



kamuulize Profesor Maji marefu, kamuulize lukuvi kafikaje hapo.
 

wapi billgates aliacha shule ww.nenda kagoogle vzur cv yake acha kuwahadaa wajinga wenzio ww.
 
Sasa ww ****** mbona na hiyo Phd ugombei ubunge kazi kukashfu elimu za watu shoga ww baba na mama ako ndo wamempa kura huyo darasa la 7 kahaba wa kiume ww

kaka jazba hazijengi,tulia upange hoja uonekane mtu.acha kutweta
 
Duh! huyu ndio waziri mtarajiwa!! kaazi kweli kweli

Mi nikikuoneni hapa mnavyochambua wenzenu nilidhani nyinyi hamna madudu!!

Tena hili la kwenu ni gunia la misumari kabisaa,, halibebeki
 
Elimuuuuu!!Ukiona unajidai saaana kuwa umeelimika ujue unatatizo ndio maana unataka hilo lionekane.Kuna watu elimu zao ndogo mno ila vision zao kwamwenye Phd nindoto yausiku!
 

kwan wewe baba ako alijisikiaje mama ako alivyochukuliwa na mwigulu
 
bora huyo mwenye elimu ya darasa la saba na anaongoza kwa kufuata misingi ya haki na utawala kuliko kuwa na phd halafu huna msimamo unayumbishwa. mfano mzuri kuna maprof wako pale ud lakini wanashindwa kutofautisha ukweli na uwongo yaani maprof madesa,kwa suala la elimu linategemea pia muhusika anajitambua? ni sawa na kigezo cha miaka 18 eti mtu anaruhusiwa kupga kura wakati mtu anaweza akawa na umri huo lakini uwezo wake wa kuchanganua mambo hadi mtoto wa miaka 12 anamshinda.
 
bora Kasulumbayi ameeleza ukweli wa elimu yake kuliko Nchimbi, Kamala, Marry Nagu, Diallo, Chegeni na Makongoro Mahanga ambao ni mafisadi wa elimu..
 

Duh!! Huyu kazaliwa 1956 kamaliza darasa la saba 1976!!! Akiwa na miaka ishirini!! kazi kweli kweli!
 

Umelipwa kiasi gani na aliyekutuma???
 
wapi billgates aliacha shule ww.nenda kagoogle vzur cv yake acha kuwahadaa wajinga wenzio ww.

naona huna takwimu za kutotasha bill gate alizaliwa mwaka 1955 alianza kufanya programming akiwa na umri wa miaka 9 , akiwa [FONT=arial, sans-serif] na umri wa miaka 20 (mwaka 1975) aliacha shule kabla ya graduation na kuunda kampuni ya software na rafiki yake Alen.[/FONT]
 
Wewe elimu yako imetusaidia nini? Si Bora huyo chaguo la wananchi kuliko hao wasomi wako wezi wakubwa wa kura
 
Hatukatai kuwa elimu ni suala muhimu sana kwani karibia kila nyanja kama siyo zote zinahitaji elimu ya kutosha ili tija iweze kupatikana. Lakini kwa upande mwingine siyo elimu tukiwa na maana ya vyeti inayobadilisha maisha ya binadamu bali ni matumizi bora ya elimu aliyopata ndiyo itahamua muskhabali wa maisha yake. Huyu mbunge kwa elimu yake ya msingi ameweza kuitumia na kujenga ushawishi mbele ya wapiga kura wa vyama mbalimbali hadi akachaguliwa kwa kuwaangusha baadhi ya wasomi.Leo hii iwapo CDM itafanikiwa kutwaa dola watakaounda serikari ni pamoja na mamia kwa maelfu ya watanzania ambao wamejaa tele. Mfumo tunaotumia hivi sasa wa mawaziri kuwa wanachama wa vyama vya siasa unazuia uwajibikaji na ninaamini kwenye mabadiliko ya katiba hili nalo litakuwemo. Mawaziri wengi wenye PHD na maprofesa wamechangia kuvuruga uchumi kwa kiasi usichotegemea. Mmoja kati ya waliowahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ni graduate wa Havard lakini mikataba aliyoiingiza nchi inatisha
 
Hatuwezi sana kuwapima wabunge kwa kigezo cha elimu tu ndio maana hakuna shule ya kusomea ubunge
 
Mnaposema kaishia la saba maana yake nini?
Je,mnataka kutuambia kuwa MURUTUNGURU College na MONDULI Teacher's training college ni primary schools ?
Basi km hizo ni primary school basi hata mwenye degree,masters au phd ,tuseme kaishia form six , maana mnaonekana kutotambua vyuo km educational level.
 
Mtazamo wangu uko tofauti, kuwa darasa la saba naamini haimwondolei mtu kuwa mwakilishi wa wananchi ktk ngazi ya ubunge. Haijalishi umetokea chama gani.
 
wewe pongo nini CHADEMA hamna wasomi kweli wewe bunju hao waliosoma wamekutendea nini chema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…