Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jimy P, Jul 17, 2012.

 1. J

  Jimy P Senior Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]


  Member of Parliament CV

  [TABLE="class: cms_table"]
  [TR]
  [TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Salutation[/TD]
  [TD]Honourable[/TD]
  [TD="width: 42%, align: center"]Member picture
  [​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]First Name: [/TD]
  [TD]Sylvester[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Middle Name:[/TD]
  [TD]Mhoja[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Last Name:[/TD]
  [TD]Kasulumbayi[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
  [TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Constituent:[/TD]
  [TD]Maswa Mashariki[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Political Party:[/TD]
  [TD]CHADEMA[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Office Location:[/TD]
  [TD]Box 170, Ipililo Maswa, Shinyanga[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Office Phone: [/TD]
  [TD]+255 787 458107/+255 716 343727/+255 667 343727[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Ext.: [/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Office Fax: [/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Office E-mail: [/TD]
  [TD]skasulumbayi@parliament.go.tz[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Member Status: [/TD]
  [TD]Current Member[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Date of Birth [/TD]
  [TD]1 January 1950[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: cms_table"]
  [TR]
  [TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="width: 35%"]School Name/Location [/TH]
  [TH="width: 27%"]Course/Degree/Award [/TH]
  [TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
  [TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
  [TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Bugisi Primary School[/TD]
  [TD="align: center"]Primary Education[/TD]
  [TD="align: center"]-[/TD]
  [TD="align: center"]-[/TD]
  [TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Monduli Teachers' Training College[/TD]
  [TD="align: center"]Teaching College[/TD]
  [TD="align: center"]1972[/TD]
  [TD="align: center"]1973[/TD]
  [TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Murutunguru College[/TD]
  [TD="align: center"]Course[/TD]
  [TD="align: center"]1978[/TD]
  [TD="align: center"]1979[/TD]
  [TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: cms_table"]
  [TR]
  [TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Company Name [/TH]
  [TH="align: center"]Position [/TH]
  [TH="align: center"]From Date[/TH]
  [TH="align: center"]To Date[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
  [TD]Member - Maswa East Constituency[/TD]
  [TD="align: center"]2010[/TD]
  [TD="align: center"]2015[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Maswa District Executive Director Office[/TD]
  [TD]Teacher[/TD]
  [TD="align: center"]1973[/TD]
  [TD="align: center"]2000[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. J

  Jimy P Senior Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman Chadema hawa ndio mnategemea kuwapa uwaziri mkishika nchi kweli Chadema Hakuna Kitu acheni kuwadanganya Watanzani Darasa la Saba , Bosi wenu Mbowe Form six hata katiba ya nchi hairuhusu Kushika Nchi Mtu asiyekuwa graduate hivi Mngewekewa Pingamizi angeshinda mngesema Fitina ya CCM Kumbe Shule hakuna, Dr Slaa naye anabeba wake za Watu hata Ikulu hajaingia atatuchukulia Madem zetu tu na atakuwa anatumia Kodi za Watanzania kuwahonga Magari Wanawake zetu, Kweli ndio maana mnaambiwa Chadema ni chama cha wanaharakati , chama cha Ukanda ....
  Kwa maadili ya Watanzania Dr hafai kushika nchi hebu tuwe wakwel tuache ushabiki hivi mtu akikuchukulia Mkeo utajisikiaje?
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Umesomeka, haya kakojoe ukalale, ukue.
   
 4. O

  Original JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini ana akili kuliko hao wabunge wa ccm wenye phd fake.
   
 5. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Jimmy P. Elimu ya darasa la & inakubalika kwa Mgombea yoyote, kwani yy huwa ni Muwakilishi wa wananchi na sio mtendaji, ukienda Marekani (Ronald Reagan) Msanii na mpanda farasi, Madagasca (Rais wa alikuwa DJ) kwa kifupi haizuii kuiongoza Nchi, Jimbo au Kata Elimu yako ya STD 7
  sasa
   
 6. J

  Jimy P Senior Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MtamaMchungu Vipi kaka Umechukia?
   
 7. J

  Jimy P Senior Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata Urais Elimu ni Darasa la Saba?
   
 8. J

  Jimy P Senior Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkwaju_" ni kweli Hata Urais Elimu ni Darasa la Saba?
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Tukisema watu walio na elimu za kuungaunga wasiingie bungeni, sehemu kubwa ya bunge na baraza la mawaziri vitakuwa tupu.
   
 10. s

  slufay JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Bbb

  Na walioko wote serikali pia ni wake zao na watoto wao wan waccm. N
   
 11. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Wewe una elimu gani? Kupata maarifa hakuhitaji kwenda darasani? Bill gate aliacha shule leo yupo wapi? Wale mapacha waliogundua ndege waliacha shule kisa inawalostisha lakini leo ugunduzi wao tunajivunia kuliko wale wenye shule. Mmefundishwa na hao mnaosema darasa la saba leo mmepata mafanikio mnawadharau . Mimi huwa sipendi kabisa mtu awe anaongelea "cheap minds"
   
 12. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,590
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hao wenye shahada na phd ndio waliotufikisha hapa. Mtoa mada huna hoja.
   
 13. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Elewa kasulumbai mmoja, hafanani na wakwako Jah people+ prof. Maji marefu+ kibaji. Rais wako degree ya GPA ya aibu. Mbowe anayo degree ambayo ameipata 2008, shauri yako,
   
 14. J

  Jimy P Senior Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Havizya, Mbowe kasoma Chuo gani na Course gani?
   
 15. J

  Jimy P Senior Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naytsory, Lete Hoja ,,,Mtu akikuchukulia mkeo utajisikiaje,,, Kweli nchi ishikiliwe na Mtu hata elimu hana ataweza kweli kusafiri kama Jk kukutana na akina Obama , Marais wenzake,, Chadema mmechemka katika hili
   
 16. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sasa ww ****** mbona na hiyo Phd ugombei ubunge kazi kukashfu elimu za watu shoga ww baba na mama ako ndo wamempa kura huyo darasa la 7 kahaba wa kiume ww
   
 17. J

  Jimy P Senior Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SLUFAY-Malizia sentensi yako haieleweki , Lete Hoja....
   
 18. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  hata kama Kasulumbayi hana elimu kubwa lakini tuangalie mchango wake kwa taifa.
  mtu kama Andrew Chenge amesoma Harvard university lakini ameficha pesa nje ya nchi!
  sasa yupi bora?
   
 19. J

  Jimy P Senior Member

  #19
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chinga boy, Utajisikiaje Mtu akikuchukulia Mkeo?
   
 20. J

  Jimy P Senior Member

  #20
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhalisi-- Hebu niambie mtu anayekataa Gari kwa sababu limetumika ila akapewa jipya akapokea huu ndio uzalendo? Arudishe gari lile tena kwa Bwewe kama alivyofanya mwanzo
   
Loading...