jerry monny
Member
- Dec 6, 2010
- 94
- 0
​naogopa burn
chukua cv ya endrew chenge alafu linganisha na yahuyu wa darasa la saba alfu angalia faida ya hiyo cv.alafu usinipe jibu tafadhali
​naogopa burn
mbona raisi aliyeyepo madarakani anaonekana hata darasa la saba hakupita busara huongoza watu na sio elimu.tatizo liko wapi? Wewe uliyesoma hadi mwisho wa ubao mbona sio kiongozi? Babako kamaliza madarasa mangapi?
mwambie hivi akijua hili wengine wanajua lililobakia.no resurch no right to speak.naona huna takwimu za kutotasha bill gate alizaliwa mwaka 1955 alianza kufanya programming akiwa na umri wa miaka 9 , akiwa na umri wa miaka 20 (mwaka 1975) aliacha shule kabla ya graduation na kuunda kampuni ya software na rafiki yake alen.
Hapa ndipo ulipokosea.. Swali la msingi ni Elimu wewe unaingiza mademu. Mchango wako huu unatakiwa upelekwe kwenye jukwaa la MMUJaman Chadema hawa ndio mnategemea kuwapa uwaziri mkishika nchi kweli Chadema Hakuna Kitu acheni kuwadanganya Watanzani Darasa la Saba , Bosi wenu Mbowe Form six hata katiba ya nchi hairuhusu Kushika Nchi Mtu asiyekuwa graduate hivi Mngewekewa Pingamizi angeshinda mngesema Fitina ya CCM Kumbe Shule hakuna, Dr Slaa naye anabeba wake za Watu hata Ikulu hajaingia atatuchukulia Madem zetu tu na atakuwa anatumia Kodi za Watanzania kuwahonga Magari Wanawake zetu, Kweli ndio maana mnaambiwa Chadema ni chama cha wanaharakati , chama cha Ukanda ....
Kwa maadili ya Watanzania Dr hafai kushika nchi hebu tuwe wakwel tuache ushabiki hivi mtu akikuchukulia Mkeo utajisikiaje?
Akichangia profesa hana tofauti na mtoto wa darasa la pili....Rev Msigwa
ivi wewe unasoma darasa la ngapi?? academic level ya lipumba na kikwete ni sawa?? elimu haiusiani sana na uongoz mkuu ,uongezi ni kipaj toka kwa mungu(ref latters za st paul) unaweza ukawa na Phd ila ukashindwa ongoza!! mi nadhan ungefikiria kwanza kabla ya kuleta hii thread,kwanza imekaa kishabiki mno!! nawas was sana na uwezo wako wa kufikiria,hufai kuwa GT..afu kingine mbona wew umezid darasa la saba(japo sina hakika) lakin hujawa hata baloz wa nyumba kumi kumi!!! FIKIRIA KABLA YA KUROPOKA....Member of Parliament CV
GENERAL Salutation Honourable Member picture
First Name: Sylvester Middle Name: Mhoja Last Name: Kasulumbayi Member Type: Constituency Member Constituent: Maswa Mashariki Political Party: CHADEMA Office Location: Box 170, Ipililo Maswa, Shinyanga Office Phone: +255 787 458107/+255 716 343727/+255 667 343727 Ext.: Office Fax: Office E-mail: skasulumbayi@parliament.go.tz Member Status: Current Member Date of Birth 1 January 1950
EDUCATION School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Bugisi Primary School Primary Education - - PRIMARY Monduli Teachers' Training College Teaching College 1972 1973 CERTIFICATE Murutunguru College Course 1978 1979 CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From Date To Date The Parliament of Tanzania Member - Maswa East Constituency 2010 2015 Maswa District Executive Director Office Teacher 1973 2000
VRY GUD!! huyu jamaa anaonekana ni mtu wa Chama Cha Mafisadi hawa ndo shida yao..ni kuwaelewesha tarabu tu wataelewa....FACT: Darasa la Saba ni kiwango cha elimu, tena kilichopangwa vizuri sana.
FACT: Sifa ya kugombea ubunge ni kujua kusoma na kuandika. Hakuna mahali paliposema kuwa ili uwe mbunge unatakiwa kuwa na digrii.
FACT: watanzania tumekuwa na kasumba kubwa sana kutamba na vyeti vya digrii, na sasa in actual fact, elimu ambayo tumeipata na hizo digrii zetu ni elimu ambayo ni employment oriented education. Matokeo yake ni kuwa, huku mtaani tunapowapata vijana "wasomi", kufanya kazi performance yao imekuwa ya kutia mashaka makubwa mpaka tunajiuliza, "kweli hawa ndiyo wasomi wetu?"
Kama Mbunge wetu anayo elimu ya darasa la saba, je inamtosha kufanya shughuli zake za kibunge bila pingamizi? Kama inamtosha, that is the best for him. Nina hakika wewe uliyeanzisha thread hii ukipambanishwa na mbunge huyu STD anakutoa knock out. Don't judge the book by its cover, and empty vessels make most sound.
Ni ushauri wa bure, tuwe na focus ya mbali zaidi kuliko kufikiria tu kuwa kwa kuwa tuna digrii tuna ubora zaidi ya watu wasiokuwa na digrii. A person grows both vertically and horizontally.