Mbunge wa CHADEMA akana elimu yake

Come on, nani huyo? Wa jimbo gani? Anakana elimu gani? Anadai ana elimu gani? Nani kamuumbua? Wa chama gani? Je, alikuwa mpinzani wake katika uchaguzi? Tafiti kwanza ndo uje.
 
Mtoa post katoa link hapo ifuate utasoma kila kitu
Ok, nimeisoma. Huyu jamaa ni mfuasi mwaminifu sana wa EL. Kwa Lamwai amefika, kwani miaka ya nyuma alimsulubu Kihiyo kwa case kama hii. Hence the title KIHIYO kwa mtu asiyepiga kitabu lakini ana post kubwa. Je, safari hii katika generation hii title itabadilika na kuwa ole Nangole? Tusubiri.
 
Tuliitaji mabadiliko lakini sio ya namna hiyo kupitia kwa lowasa aliyezungukwa na akina rostam karamai ,na matajiri wa arusha wasiopenda hata kulipa kodi na ukimuona mtu anamuunga mkono lowasa lazima ujiulize mara mbilimbili
 
Huu uzi ungekuwa una mhusu mbunge wa CCM ungekuta tayari umejaa akiana ben saanane, and co lakin kila wakichungulia link wanaona aibu
 
Back
Top Bottom