Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
wanafanya wataavyo..mahakama zao na askari wao
hakimu katumia hekima alijua wazi ni kesi ya kuwakomoa cdm akatoa option ya faini ili wasiende jela
Angalia hapo chini, huyu Mama badala ya kufanya hilo kosa, sio tu la kufanya mkutano kinyume na sheria, lakini hakupaswa kabisa kufanya mkutano huo kwa vile Mkuu wa Wilaya ni mtumishi wa umma na sio wa chama, sasa NEC/serikali/chama chake (ambavyo ni kitu kimoja) wanamzawadia kwa kumhamshia kwengine na sio kumwadhibu.Kwanini Fatma Kimario alihamishiwa Pwani kama hamuendelezi udini na taswira mbaya kwa taifa?Hii serikali imeingia kwenye mtego mbaya sana.Kila inalofanya halina taswira ya umoja,badala yake wanadhani wanadhoofisha vyama vya upinzani kumbe wanaharibu taifa.
Itakumbukwa mapema mwaka huu, Kimario alikutwa na viongozi wa Chadema katika Kijiji cha Isakamaliwa wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga, akifanya mikutano na viongozi wa Serikali za vitongoji, kata, vijiji na madhehebu ya dini kinyume na sheria za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Nyie vipi? jana kuna mmoja ka post thread humu jf akidai kuwa CDM wameshinda kesi........ au hukumu hii ina tafsiri nyingi tofauti?
JUMAMOSI, JULAI 21, 2012 09:23 NA JOHN MAKAMBO, TABORA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora, imemhukumu Mbunge wa Maswa Mashariki, Sylvester Kasulumbai (Chadema), kifungo cha miezi minne jela ama kulipa faini ya Sh 100,000, baada ya kumtia hatiani.
Na Fatma ashitakiwe kwa kosa alilotenda.
what is laki moja kwa mbunge?
just vijicent hizo
Hivi unafikiri ingekuwa kila kosa linahukumiwa kwa haki, nani katika ccm angekuwa nje kama raia huru?Kiasi ushindwe kuelewa maana huyu hakimu hajui kazi yake ,hapa alitakiwa atoe fundisho ,yaani kama miaka 7 au 10 ,ili iwe somo la bure kwa wengine.Miezi minne ,mwizi wa kuku anaweza kupoteza maisha au kula miaka ap jela,hakimu usikosee tena kutoa hukumu ya aina yake haswa kwa hawa watu wa siasa .wote bila ya kuheshimu anatoka chama gani.
Kiasi ushindwe kuelewa maana huyu hakimu hajui kazi yake ,hapa alitakiwa atoe fundisho ,yaani kama miaka 7 au 10 ,ili iwe somo la bure kwa wengine.Miezi minne ,mwizi wa kuku anaweza kupoteza maisha au kula miaka ap jela,hakimu usikosee tena kutoa hukumu ya aina yake haswa kwa hawa watu wa siasa .wote bila ya kuheshimu anatoka chama gani.
hakimu katumia hekima alijua wazi ni kesi ya kuwakomoa cdm akatoa option ya faini ili wasiende jela
Pole sana Mbunge kwa kesi lipa faini uendelee na kazi zako.