VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa.Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.Dharau hii haivumiliki.Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa.Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.
Kimsingi,baada ya mwenendo mzima wa kesi,Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu.Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

Bila shaka yoyote wewe ndiye Mbunge mwenyewe, usijisafishe hapa mkuu... sasa mahala pa kujisafisha ni mahakamani...Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa.Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.Dharau hii haivumiliki.Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa.Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.
Kimsingi,baada ya mwenendo mzima wa kesi,Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu.Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.
Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.
Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...
Mahakama itasema.Tabia hii ikiachwa,itawasumbua hata Makamanda watakapokuwa na kesi Mahakamani. Tusubiri,tusikieTwambie kama hukupokea RUSHWA alipokea nini? KIPEPE-RUSHWA?
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.
Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.
Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...
A person is pressumed innocent until proved guilty...Mkuu VUTA-NKUVUTE mbona TAKUKURU wamesema wana ushahidi wa kutosha inakuwaje wewe unahukumu na kusaema mahakama iachwe iamue? Kusema kwamba mheshimiwa alipokea au hakupokea bila mahakama kuthibitisha unajua kama si sahihi?
sijakupata bado mi nadhani unaingilia uhuru wa mahakama hapo.
Mtu atachuliwa hana hatia hadi ikithibitika vinginevyo...Unajichanganya mwenyewe. Tazama Heading yako, eti Hakupokea rushwa. Sasa wewe nani aliyekupa mamlaka ya Mahakama kumpronounce Mbunge huyo kuwa "Hakupokea" rushwa? Mbona na wewe unaingilia uhuru wa Mahakama? Kama amekuuma sana nenda ukawe shahidi yake Mahakamani. Ama kweli Mkuki ni maalum kwa Nguruwe a.k.a. Noah tu, kwako wewe "binadamu" mchungu!