johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,977
Mbunge wa kuteuliwa kupitia CCM Janeth Masaburi amemtaka Waziri wa mambo ya ndani Dr Mwigulu Nchemba kufikisha bungeni ripoti za mauaji ya aliyekuwa mbunge wa Tarime ( Chadema) na mchungaji Christopher Mtikila aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha DP. Source gazeti la Mtanzania!